longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
Sera Mbadala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaaa! Kwani wagombea wenu huko sisiemu huwaletea nini cha kudumu zaidi ya ubwabwa na chumvi?Kwahiyo tumpigie kura za urais kwakua kapewa hilo basi jipya???
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Sasa kwanini ccm wanategemea mafuso makuu kuu? Acha wivu wakichangu. Chadema ikisonga nchi nayo inasogeaTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
umejipa kazi ngumu sana !Lissu na kundi lake - dunia nzima si uchina tu - bahati nzuri trump kamfukuzia mbali
Inaingia lini?Tatizo wewe huna akili kwa sababu kuwa ba rangi za chama husika ni option
In God we trust
HiiWamekosea sana kulipa paintjob hiyo likiwa nje,ilitakuwa lije kimya kimya halafu paint inafanyika march 2020,undefinedtutalitaifisha..
Umeliona?Kwahiyo tumpigie kura za urais kwakua kapewa hilo basi jipya???
Uwe na akiliHaswaaaa! Kwani wagombea wenu huko sisiemu huwaletea nini cha kudumu zaidi ya ubwabwa na chumvi?
Lissu, omba na basi lingine kwani hili moja linawatoa watu roho!
Si ndio hii?Sasa
Sasa kwanini ccm wanategemea mafuso makuu kuu? Acha wivu wakichangu. Chadema ikisonga nchi nayo inasogea
Au yako mawili?Labda kama ana ndugu yeyote ubelgiji
In God we trust
Ingawa picha inaonekana kama vile ya ku edit ila kwa mfano ikawa kweli hili basi litakadiriwa kodi kubwa zaidi ya bei yake pale bandarini hatimae litapigwa mnada hahahaah
Acha wivu wa kichawi wewe, mbona Lumumba hamjapewa pamoja na sifa zote mnazo msifia M/kiti wenu zaidi ya kwenda kupitisha bakuli kwa gharama ya watanzania?Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.