Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Sasa kama ni photo shop wewe inakuumiza nini?

In God we trust
We nishakwambiaga siku nyingi Reasoning Capacity yako ndogo, unadanganya ili upate nini?, Unachukua picha Google unaiandika SERA MBADALA ili ku gain nini?, Au mmeona mgonjwa kasahaulika mkaamua kuleta uongo humu?
 
Kamalizane kwanza na uvccm
Basi hata January Makamba alitumia na hakuwa Rais. Najua kumbukumbu imekata. Mnatakiwa muwekwe Museum ili watu walipie kuja kuwaona sababu ya mbinu mnazotumia kisiasa. Tena huku mkijua kuwa mpinzani wenu ni mbobezi.

In God we trust
 
Ukitaka pasuka vipandevipande tujue kama umekasirika
We nishakwambiaga siku nyingi Reasoning Capacity yako ndogo, unadanganya ili upate nini?, Unachukua picha Google unaiandika SERA MBADALA ili ku gain nini?, Au mmeona mgonjwa kasahaulika mkaamua kuleta uongo humu?

In God we trust
 
Mkuu hebu anzisha Uzi utupie ile picha original ya basi kuwaumbua hawa NYUMBU.Kila siku wanakuja na story za kutunga.
Labda kama ana ndugu yeyote ubelgiji

In God we trust
 
Screenshot_20190312-161231.png
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
hawakawii kusema kodi yake ni mara kumi ya bei yake...

Hongera chama kubwa...
 
Vipi mshajiandaa kulipa 110 billion za konoike?
We nishakwambiaga siku nyingi Reasoning Capacity yako ndogo, unadanganya ili upate nini?, Unachukua picha Google unaiandika SERA MBADALA ili ku gain nini?, Au mmeona mgonjwa kasahaulika mkaamua kuleta uongo humu?

In God we trust
 
Wamekosea sana kulipa paintjob hiyo likiwa nje,ilitakuwa lije kimya kimya halafu paint inafanyika march 2020,undefinedtutalitaifisha..
 
Inabidi kuomba sana ili lisikwame bandarini.Utashangaa linapigwa mnada pale.hahaha
 
Kwahiyo tumpigie kura za urais kwakua kapewa hilo basi jipya???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom