Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Ngoja niifanye avatarJamani jamani mtaua watu kwa pressure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niifanye avatarJamani jamani mtaua watu kwa pressure
Kwa hiyo hata rais kupokea ndege ni mbwe mbwe na kuonesha level ya ujinga kwakuwa Precision air wanazo?Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Wanaugulia wivu mkali.wanatamani isiwe kweliWanaumia vibaya sana kwa kiungulia
In God we trust
Kutumia Kodi za Wananchi si Ndiyo? Hapo hata 100,000.CCM wakiamua wanaingiza hata 10,000 -
Mfano scenario niliosema ikawa kweli mara CDM nao wanapitisha harambee watu wanachanga hela zinanunua magari kama hayo sita itakua hatari sanaWachana na nguvu ya umma
In God we trust
Hahahahahah aliyesema BAVICHA NI nyumb*******Hakika aliona mbali sana.Ukisoma comment zao huko juu hupati shida kujua hawa watu wana shida vichwani.
Shida sio kuamua. They have dead brain. Ubunifu sifuri huko lumumbaCCM wakiamua wanaingiza hata 10,000 -
Hii ni PHOTOSHOP zoom hayo maandishi ndo utaona maandishi yanavyopishana na Scale ya size ya vioo vya madirisha halafu yamebandikwa.Zoom vizuri na LOGO ya CHADEMA ndo utaelewa vizuri.Sielewi wanadanganya kwa faida gani.HII scania ni original kwa kweli! Humo ndani Huenda fuluuu Wi-Fi. Tutakimbizwa hapa na Maoist ya hatareee. Machadema yatatamba Sana. yataisukuma hiii hadi noma Mikoani kote. Nawaza itakavyoenda Mikoani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Miji shughuli zitasimama kushangilia bado hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nijuavyo mabasi haya yatakuwa mengi, kila mkoa na lake plus makao makuu,maana karibu kila Mtanzania mpenda demokrasia atachangia wa ndani na nje. Hawa Mafioso lazima wakione Cha motoHII scania ni original kwa kweli! Humo ndani Huenda fuluuu Wi-Fi. Tutakimbizwa hapa na Maoist ya hatareee. Machadema yatatamba Sana. yataisukuma hiii hadi noma Mikoani kote. Nawaza itakavyoenda Mikoani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Miji shughuli zitasimama kushangilia bado hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wanajitekenya halafu wanacheka wenyewe, duh.Hahahahahah aliyesema BAVICHA NI nyumb*******Hakika aliona mbali sana.Ukisoma comment zao huko juu hupati shida kujua hawa watu wana shida vichwani.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Si walisema ataenda kuonana na Papa hahahahahahah.Hii picha nimejiridhisha kuwa ni PHOTOSHOP, kama kuna mtu anabisha mwambie aliyeileta aweke picha nyingine. Hivi watanzania waishio Belgium wachange kununua Basi jipya la Scania?,mnajua bei yake?,mnajua ubahili wa wabongo wanaokaa ulaya jinsi ilivyo washape kutochangia ovyo vitu vya kijinga?, CDM ipewe basi zuri hivi kwa mgongo wa Lissu usimuone Lissu kwenye picha?,mmezidi mahaba ndo maana mlidanganya eti Lissu atahutubia bunge la marekani.Itafika mahali habari yoyote ya Lissu itakuwa haiaminiki mpaka ailete mwenyewe.