Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utashangaa serikali wana indose KODI sana kwa hili basiKwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Vipi hii gari itaingia lini Tz?Uvccm hakuna aliye msafi ndani ya ccm
In God we trust
Mkubwa!! Yaani kiongozi ambaye anawajibika anaweza kuhangaika na zawadi ya gari? HAlafu unatoa pongezi! CHADEMA kwa ruzuku zao wanashindwa kununua mabasi ya aina hii kama wanaona ni mtaji wa kisiasa?Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
hao CCM ruzuku wanayopta wamewahi kununua gari kama hili..... Hata kampeni wanatumia magari ya serikali, acha ufala weweMkubwa!! Yaani kiongozi ambaye anawajibika anaweza kuhangaika na zawadi ya gari? HAlafu unatoa pongezi! CHADEMA kwa ruzuku zao wanashindwa kununua mabasi ya aina hii kama wanaona ni mtaji wa kisiasa?
CHADEMA walikuwa na magari kibao wakati wa uchaguzi. Leo hii yako wapi?
Yapo hapo yanawasaidia hata wana ccm walio telekezwa na magutaMkubwa!! Yaani kiongozi ambaye anawajibika anaweza kuhangaika na zawadi ya gari? HAlafu unatoa pongezi! CHADEMA kwa ruzuku zao wanashindwa kununua mabasi ya aina hii kama wanaona ni mtaji wa kisiasa?
CHADEMA walikuwa na magari kibao wakati wa uchaguzi. Leo hii yako wapi?
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
WE JAMAA BHANA SO, BABA YAKO AKIWA NA GARI SHULE YA KATA YENU ISINUNULIWE GARI?
Subiri JibuMkuu, nimependa hiyo avatar yako, hebu tufafanulie maana yake. Namuona Papa benedict XVI hapo.
Mkuu hebu anzisha Uzi utupie ile picha original ya basi kuwaumbua hawa NYUMBU.Kila siku wanakuja na story za kutunga.Si walisema ataenda kuonana na Papa hahahahahahah.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Basi hata January Makamba alitumia na hakuwa Rais. Najua kumbukumbu imekata. Mnatakiwa muwekwe Museum ili watu walipie kuja kuwaona sababu ya mbinu mnazotumia kisiasa. Tena huku mkijua kuwa mpinzani wenu ni mbobezi.HII scania ni original kwa kweli! Humo ndani Huenda fuluuu Wi-Fi. Tutakimbizwa hapa na Maoist ya hatareee. Machadema yatatamba Sana. yataisukuma hiii hadi noma Mikoani kote. Nawaza itakavyoenda Mikoani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Miji shughuli zitasimama kushangilia bado hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesubiri kwa siku nyingi napenda kujua.
Huo ni wivu wa kichawi mkuu