mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
YES, mahusiano ya kimataifa ni jambo la msingi - kwani Tanzania tumepokea viongozi wangapi - wengiiiiiiiii sana - aende aongee na rafiki zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YES, mahusiano ya kimataifa ni jambo la msingi - kwani Tanzania tumepokea viongozi wangapi - wengiiiiiiiii sana - aende aongee na rafiki zake
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Fanya haraka mkuu.CCM si watu.Wataloga lipotee
Hawataiacha bureBandarini haitoki hii!! Hata ikiwekwa kwa ndege uwanjani haitoki!!
Na ikitoka basi upande wa pili kutakuwa kuna bonge la sinema
Pole sana Kwa kuungua ndani Kwa ndani.Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Hahahaha pole Kwa kuungua ndani Kwa ndani.lini mtaamua?CCM wakiamua wanaingiza hata 10,000 -
Umeamua kubadilisha username? Piga picha upo mbele ya makaburi ndiyo ina mvuto.Hatuna haja na midoli
Thamani ya maneno yaliyoandikwa ubavuni mwa basi hilo ni kubwa sana kuliko basi lenyewe!
Yaliyomo kwenye maneno hayo inatakiwa yawafikie wananchi haraka sana!
Wale waliompangia chumba?