Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Mnaliwazana lkn ukweli mnaujua kuwa sasa mjiandae kutupisha
DA yaani hata kwaakili za mtoto mdogo wa miaka miwili hawezi kukubali kuongozwa na mtu kama lissu never bora tukae bial kiongozi
 
Kutoka kutembelea chopa hadi youtong chama mufilisi tayari, nbowe hela zote anamalizia kwenye kesi zakujitakia

Mizizi imekatwa - wataombea hata baiskeli siku si nyingi - waliokuwa wanaishi kama malaika sasa wataishi kama mashetani wa londoni
 
Basi tulieni mmalize kwanza migogoro yenu na uvccm
Maskini akipata ni tabu sana - ukitaka kujua tabia za maskini mpe fedha - CCM vitu walishavizoea kitambo sana

In God we trust
 
Bandarini haitoki hii!! Hata ikiwekwa kwa ndege uwanjani haitoki!!

Na ikitoka basi upande wa pili kutakuwa kuna bonge la sinema

Litaambiwa halina ubora kodi tu ili liingie Milioni 700
 
Afe nani kwa matoi hayo - CCM iko level nyingine - acha LIssu aendelee kula mikataba ya kuuza nchi

Lissu auze nchi ipi ilhali Tanzania ilishauzwa na Mafisadi wa Chama cha Mafisadi-CCM siku nyingi?
Sehemu zote zenye madini CCM wameshiriki kuingia mikataba ya KIFISADI na kuna maeneo WAZUNGU WALISHA CHIMBA Dhahabu imeisha kilichobakia ni MASHIMO na MAHANDAKI...!! Huko Mererani Tanzanite kwishine na Jiwe anakumbuka shuka asubuhi KUJENGA UKUTA kama wa BERLIN ulokuwa ukitengenisha East na West Germany....utafikiri hajui kama kumekucha.....!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom