Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Acha kucheza na Photoshop mara moja.

1552391853800.png
 
M
Jifarijini kwa maneno hayo - CCM ni chama pendwa (watu wa kawaida, taasisi na mashirika ya umma, balozi nk)
We MATAGA, unasumbuka sana. CDM ni habari ingine bwanamdogo, jiwe analala na file kitandani sababu ya CDM.
 
CCM = Chama Cha Mungu/Mapinduzi = kilianzishwa kwa mpango wa Mungu
 
Hiyo gari itaingia bandarini na itatoka tu cdm hawanaga tabia za wizi wizi
Likiingia bandarini litadaiwa kodi ya kwanzia 1992 kipindi ambacho vyama vingi vimeanzishwa ata kama manufactor date ni 2018

In God we trust
 
with a smile. karibuni mamlaka ya mapato, mamlaka ya ukaguzi na mamlaka ya viwango vya ubora .
maendeleo hayana chama
 
CCM wakiamua wanaingiza hata 10,000 -

Ingizeni hata milioni moja lakini ukweli utabaki kwamba ccm haina ubunifu zaidi ya kuiga. Uwezo wa ccm wa kupata hayo mabasi ni kupitia cheo cha mwenyekiti wake ambaye ni rais wa nchi hivyo anaweza kuchota hazina.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom