Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Tengeneza na wewe Photoshop ya Lumumba utuwekee hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini asumbukie ujinga - huo tunawaachia kundi upinzani sisi:-
= Tunanunua ndege ili msafiri kuosha picha,
= Tunajenga reli ili msafirishe mipicha,
= Tunaleta umeme wa REA ili simu zenu zisiishiwe chaji;
= Tumejenga mkongo wa taifa ili muendelee kupata mtandao wa kasi,

CCM 4C
 
Tatizo lako ni wivu wa kijinga kwani kuna watu wangapi wana miliki magari ya kifahari lkn hawana hata nyumba zao wenyewe zaidi ya kupanga?

In God we trust
 
Ghost projects. ni suala la muda kabla hamjaanza kuumbuka zaidi ya hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona imekuumiza sana kiasi unafanya comparison kati ya private sector na ile ya serikali.pole sana ndugu yangu mwaka 2020 siyo mbali
Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.

In God we trust
 
Ila watu hawawapendi mnazimisha kupendwa, watu wanaipenda sana CDM wana mvuto hatari,

Jifarijini kwa maneno hayo - CCM ni chama pendwa (watu wa kawaida, taasisi na mashirika ya umma, balozi nk)
 
Kwa nini asumbukie ujinga - huo tunawaachia kundi upinzani sisi:-
= Tunanunua ndege ili msafiri kuosha picha,
= Tunajenga reli ili msafirishe mipicha,
= Tunaleta umeme wa REA ili simu zenu zisiishiwe chaji;
= Tumejenga mkongo wa taifa ili muendelee kupata mtandao wa kasi,

CCM 4C
Yote hayo lakini Bado hamjiamini.
 
Back
Top Bottom