Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
UOTE="mtanzania1989, post: 30715896, member: 23752"]Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.[/QUOTE]
Ni kweli upo sahihi kabisa kwani hoja yako nayo IMO humohumo kwenye level za wajinga wenzako!
Ati bwebwe! Unashangaza!
 
Kwahiyo tumpigie kura za urais kwakua kapewa hilo basi jipya???
Haswaaaa! Kwani wagombea wenu huko sisiemu huwaletea nini cha kudumu zaidi ya ubwabwa na chumvi?
Lissu, omba na basi lingine kwani hili moja linawatoa watu roho!
 
Hata kutumia graphycal Tools hujui. Wewe Ni mashamba Sana. Kwanza utaalam wa picha zikiwa katika Perspektive View hujui huwiano wake. Haibu kubwa sana! Unashindwa hata kutumia Adobe Photo Shop, ukapata Perspektive View ya kudanganya!

Angalau hata maandishi ukayaweka transparent tungesema umejitahidi kidogo. Kwenye Tinted Glas unaweka opaque watu walio ndani wataonaje nje?

Watanzania Mnaona mlivyo kuwa wajinga? Mnashindwa kutambua hata uozo huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ndiyo mtego wenyewe huo kwa ccm,utaona reaction yake kimataifa ,maana itakuwa ni kituko atiiii
 
Hilo basi halitapita pale bandarini niwaambieni. Watafungua hadi matairi kukagua wakifikiri kuna bomu la kumjeruhi Jiwe.
 
Ngoja nikaandike kwenye bajaji yangu "Sera Mbadala". Nimeipenda hiyo. Ila nawaona Jiwe na Polex2 wanashituka. Sijui ni nini kilichowapata.
 
Sasa
Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Sasa kwanini ccm wanategemea mafuso makuu kuu? Acha wivu wakichangu. Chadema ikisonga nchi nayo inasogea
 
Hakika Mtanzania ana safari ndefu sana ya.

Tupo nyuma sana kifikra na muono.

Eti leo tupo hapa tunabishana picha ya basi! Dah! Wacha mabeberu waitwe mabeberu.
 
Tatizo wewe huna akili kwa sababu kuwa ba rangi za chama husika ni option

In God we trust
Inaingia lini?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ndo mnategemea kuchukua nchi ivo na stori zenu za kutunga daily. Poleni sana.
BTW msisahau mwenzenu aliomba hela ya pango, ada za watoto na chakula mpeni msaada huo kwanza mengine baadae
 
Wamekosea sana kulipa paintjob hiyo likiwa nje,ilitakuwa lije kimya kimya halafu paint inafanyika march 2020,undefinedtutalitaifisha..
Hii

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kwahiyo tumpigie kura za urais kwakua kapewa hilo basi jipya???
Umeliona?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Haswaaaa! Kwani wagombea wenu huko sisiemu huwaletea nini cha kudumu zaidi ya ubwabwa na chumvi?
Lissu, omba na basi lingine kwani hili moja linawatoa watu roho!
Uwe na akili

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Sasa
Sasa kwanini ccm wanategemea mafuso makuu kuu? Acha wivu wakichangu. Chadema ikisonga nchi nayo inasogea
Si ndio hii?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Labda kama ana ndugu yeyote ubelgiji

In God we trust
Au yako mawili?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ingawa picha inaonekana kama vile ya ku edit ila kwa mfano ikawa kweli hili basi litakadiriwa kodi kubwa zaidi ya bei yake pale bandarini hatimae litapigwa mnada hahahaah

Yaani unachosema ndicho kitakachofanyika.......hii nchi kwa sasa imeshavuka mstari wa laana inaelekea kuzimu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…