Kwani vipi? Mbona unanipangia cha kuwa nacho? Au kuna mahali nimekulalamikia kuwa sipo na akili zangu?Uwe na akiliView attachment 1043955
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Wivu ni Uchawi mbaya sana. Long live Lissu.Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Acha wivu utakuponzaTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
we umeumia nnn sasa mbona kawaida hizi ni kama zilpilipili za shamba noi wangu fanya kama hujaionaTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
angalia idadi ya likes ulizopata wewe na mtoa post ndio utamtambua mjingaTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.
In God we trust
Waliompa like mtoa mada wana AKILI TIMAMU?Je wewe kwa kumsapot mtoa mada una AKILI TIMAMU?angalia idadi ya likes ulizopata wewe na mtoa post ndio utamtambua mjinga
Mpk hapa kule kwa kina mwewe wanalipigia hesabu ya kulisabotejLikiingia bandarini litadaiwa kodi ya kwanzia 1992 kipindi ambacho vyama vingi vimeanzishwa ata kama manufactor date ni 2018
😶😶😅😅😅😅😅😅😅😅😅Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Hili au?Acha wivu utakuponza
** heads up Chadema - Ombeni serikali ya Ubelgiji iwasaidie kusafirisha na kulikomboa bandarini
Kuna watu kama hawa watawasumbua sana kulitoa
Ni wazo tu
Hii?Wivu ni Uchawi mbaya sana. Long live Lissu.
Picha Duka ?? Haha bavicha hawaishi maajabu.Umeliona?View attachment 1043954
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
We unajiona una AKILI?Wenye akili wote wamedoubt hiyo picha ila wapuuzi wote wamekata mauono mushangilia. Soma signature yangu hapo chini.Kwani vipi? Mbona unanipangia cha kuwa nacho? Au kuna mahali nimekulalamikia kuwa sipo na akili zangu?
Hahahahahah picha duka.Picha Duka ?? Haha bavicha hawaishi maajabu.
NCHI GANI HIYO?Afe nani kwa matoi hayo - CCM iko level nyingine - acha LIssu aendelee kula mikataba ya kuuza nchi
walifanyie figisu kwa kosa gani kwani Hakuna kanuni ya unifomiti kukokotoa kodi au likiwa la upinzani inakuwa kosaLitapita bandari hii kweliii!!
Nahisi kodi yake itafika milioni 200
Gari yenyewe ndio hii?walifanyie figisu kwa kosa gani kwani Hakuna kanuni ya unifomiti kukokotoa kodi au likiwa la upinzani inakuwa kosa
Mshaliediti mbwa nyieGari yenyewe ndio hii?View attachment 1043984
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.