Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Pole sana dogo hiyo ndiyo cdm iliyo mshinda wasira kuisambaratisha mwaka 2012 badala yake akasambaratishwa yeye na mtoto mdogo tena wa kike Ester Amos Bulaya pale bunda
Waliompa like mtoa mada wana AKILI TIMAMU?Je wewe kwa kumsapot mtoa mada una AKILI TIMAMU?View attachment 1043979

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

In God we trust
 
Tatizo lako kusoma kilicho andikwa kwako ni mtihani sana,
Hilo bus limenunuliwa na watanzania wanao ishi huko ughaibuni ubelgiji ili lifanye kazi ya kukiimarisha chama.
In God we trust
 

This is a gewgaw!
Naishi hapa Brussels hata sijawahi kusikia mchango huo. Jamii kubwa ya w-TZ hapa ni wanafunzi. LIni wakawa na michango ya kununua scania?
Katika matatizo na mahitaji ya CHADEMA, hili ndo kubwa Zaidi? Basi la kusafirisha akina nani? Hii inanikumbusha utotoni, tukinunuliwa shati la sikukuu, tunatembea kijiji kizima utadhani wengine wako uchi.

Kama ni kweli, ni mwaka mmoja baada ya hapo gari litaitwa Mtei na kuanza safari za Arusha - Dar
 
Mshamba ni wewe mwenye wivu unaumia chadema imenunua wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi unajielewa kweli ww? Sasa mimi naumia nini wakati nataka John Pombe atolewe Ikulu???? Kwaiyo nikiona watu wa kumtoa wanapata vifaa na zana well then it is a good news!

My point was, nyie BAWACHA Acheni ukanjanja wa kama huo eti mnaphotoshoot muonekane mmenua basi...yani ujinga ujinga tu.....sasa mnakua hamna tofauti na UWT.

Sidhani kama mwenyekiti wenu Halima Mdee kaona huu upumbavu wa photoshoot mnaouleta hapa
 
 
Sipati picha jinsi litakavyopigwa VYETI na traffic sidhani kama litaruhusiwa kuingia nchini
 
Sasa na nyie si muweke photoshop ya kwenu huko lumumba mnali lia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm figisu ni kawaida yao Ila awamu ya tano kuna roho mbaya na matumizi makubwa ya nguvu za dola dhidi ya upinzani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…