Sawa mkuu,turudi kwenye gari yetu mpya ni ipi kati ya hizi mbili ni fake?View attachment 1044024View attachment 1044025
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Hiyo lazima TRA wachukue tax kuanzia bilioni moja na ushee ili mshindwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umejisemea ukweli chadema inatuumiza sanaQC
CHADEMA acheni kutuumiza
CHADEMA ache kutuumiza mulianza na magwanda tumetengeneza ya kijani na meusi, baadaye mkaanza na helkopta hatukuwa nyuma tukapambana leo hii ni miaka helkopta yetu ilimuua mtu muhimu sana!
Mumeanza kuja na basi na sisi tutanunua basi ila sasa sijui basi letu litaondoka nani? Kwa sababu watanzania wanavutiwa na basi lenu wakati wa kampeni tutakodi hata kwa majirani wetu kenya! Haiwezekani sisi tukusanye kodi alafu vitu vizuri mumiliki nyie tutapambana sambamba na nyie.
this red light alerms a snake from a hole.Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Wameamua kumpa basi maana tumesubiri mthubutu kuzuia mshahara mmenyuti uoga wa kuaibikaTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Hapana mkuu, tuwekane wazi.Ipi hapo ni fake? Na hiyo ya chadema umeitoa wapi angalau nikajisomee mwenyewe?Kikubwa wewe ni wa kudharau tu kwakuwa umeamua kujiondoa akili
In God we trust
Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Zawadi kapewa Lissu au CHADEMA?Kwa iyo mkichanganya na zileee... chadema mnakuwa na hilux nne na bus moja. Au atalitumia lisu peke ake kama private jet yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
SikushangaiHapana mkuu, tuwekane wazi.Ipi hapo ni fake? Na hiyo ya chadema umeitoa wapi angalau nikajisomee mwenyewe?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Ipi fake mkuu?