Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Kama wamenunua hilo bus tayari walishakuwa na mawazo kama yako hivyo ujue kila kitu kipo makini mkuu ondoa shaka
Dah...lakini gharama atazilipaje????
Watanzania si wajinga[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160

In God we trust
 
Walisema wananyosha nchi! Mbona mimi Naona kila kitu kina zaidi kujikunja, mifumo , Taasisi na watu wenyewe sio kupinda tu! Wamejikunja ........
pasi haijapata moto, tunasubiri umeme wa s.gorge
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…