Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Hapo ndiyo unathibitisha ufinyu wa akili yako kwani unadhani kazi ya bus ni kufanya nini?
Mbona ni photo shop tu hakuna kitu hicho. Cdm mko desperate sana mumeishiwa kabisa. Basi ubeljiji la chadema hata kama ni kweli litafanya nini. Labda alilete singida kubeba abiria.

In God we trust
 
Ipi fake?View attachment 1044139View attachment 1044140View attachment 1044141

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Mkuu umemaliza kila kitu, hii MICHADEMA ni MIPUMBAVU, haijiulizagi hata ikipigwa fix za PHOTOSHOP, waliambiwa Lissu anakutana na Trump na Papa wakashangilia na kukata mauno. Juzi wameambiwa Lissu atapewa tuzo ya binadamu wa kwanza kujua Sheria za kimataifa wakashangilia, Leo wamezawadiwa basi kutoka GOOGLE naona wapo wanashangilia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani unatesekaaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tukutane bandarini pale tukipokelewa na TRA,watu wa bandari na wanoko wote wanao fanya kumiliki gari toka kwa mjapani kuwa ngumu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau kunahitajiwa kulipwa 110billion za konoike
In God we trust
 
Mkuu hawa jamaa ni wa kuwahurumia tu.Jamaa kamind sana kwa kumuumbua, utaona yuko frontline kuhakikisha watu wanaamini huu UPUUZI.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Sasa huku ni kuua biashara za mwenyekiti.
Sasa nani atakuwa anakodi magari ya mwenekiti?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…