Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ni photo shop tu hakuna kitu hicho. Cdm mko desperate sana mumeishiwa kabisa. Basi ubeljiji la chadema hata kama ni kweli litafanya nini. Labda alilete singida kubeba abiria.
Lakini kumbuka kunguni anaweza kukusababisha kuhama nyumba, kuchoma moto godoro la thamani ama kuchoma nyumba moto.Wewe ni sawa na kunguni ndani ya nchi ya watu 50
In God we trust
Mkuu umemaliza kila kitu, hii MICHADEMA ni MIPUMBAVU, haijiulizagi hata ikipigwa fix za PHOTOSHOP, waliambiwa Lissu anakutana na Trump na Papa wakashangilia na kukata mauno. Juzi wameambiwa Lissu atapewa tuzo ya binadamu wa kwanza kujua Sheria za kimataifa wakashangilia, Leo wamezawadiwa basi kutoka GOOGLE naona wapo wanashangilia.Ipi fake?View attachment 1044139View attachment 1044140View attachment 1044141
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Lakini kumbuka kunguni anaweza kukusababisha kuhama nyumba, kuchoma moto godoro la thamani ama kuchoma nyumba moto.
Wewe ni sawa na kunguni ndani ya nchi ya watu 50
In God we trust
!!!! MIMI NI KUNGUNI!!!!!Kwakua wewe ni Mungu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani unatesekaaaa...Mkuu umemaliza kila kitu, hii MICHADEMA ni MIPUMBAVU, haijiulizagi hata ikipigwa fix za PHOTOSHOP, waliambiwa Lissu anakutana na Trump na Papa wakashangilia na kukata mauno. Juzi wameambiwa Lissu atapewa tuzo ya binadamu wa kwanza kujua Sheria za kimataifa wakashangilia, Leo wamezawadiwa basi kutoka GOOGLE naona wapo wanashangilia.
tukutane bandarini pale tukipokelewa na TRA,watu wa bandari na wanoko wote wanao fanya kumiliki gari toka kwa mjapani kuwa ngumu.Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Mkuu umemaliza kila kitu, hii MICHADEMA ni MIPUMBAVU, haijiulizagi hata ikipigwa fix za PHOTOSHOP, waliambiwa Lissu anakutana na Trump na Papa wakashangilia na kukata mauno. Juzi wameambiwa Lissu atapewa tuzo ya binadamu wa kwanza kujua Sheria za kimataifa wakashangilia, Leo wamezawadiwa basi kutoka GOOGLE naona wapo wanashangilia.
Tulia usubiri damu zenye UKIMWI!!!! MIMI NI KUNGUNI!!!!!
😂😂😂beberuKunani Ubelgiji?
awamtakii mema jiwe,Jamani jamani mtaua watu kwa pressure
Ameshasema waropokaji wawekwe ndani apathetically amani leo wanamropokea kwa matendo 😂awamtakii mema jiwe,
Mkuu hawa jamaa ni wa kuwahurumia tu.Jamaa kamind sana kwa kumuumbua, utaona yuko frontline kuhakikisha watu wanaamini huu UPUUZI.Mkuu umemaliza kila kitu, hii MICHADEMA ni MIPUMBAVU, haijiulizagi hata ikipigwa fix za PHOTOSHOP, waliambiwa Lissu anakutana na Trump na Papa wakashangilia na kukata mauno. Juzi wameambiwa Lissu atapewa tuzo ya binadamu wa kwanza kujua Sheria za kimataifa wakashangilia, Leo wamezawadiwa basi kutoka GOOGLE naona wapo wanashangilia.
Sasa huku ni kuua biashara za mwenyekiti.Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Tutaliendesha kutokea Mombasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania gani hao - ngoja kwanza lifike afu tulikaguwe iwapo linafaa kwa matumizi ya binadamu - lisipofaa lizeekee bandarini