Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Lakini waliotekwa na kuteswa zaidi ni way chama kipi? Anzia hapo utapata jibu swafii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio nani katekwa bali nani mtakaji. Na kwa nini ateke. Na kwa nini aue watu wa tabaka fulani mfano mmoja tu nadhani unakumbuka idadi na aina ya watu waliouliwa Mkuranga, Rufiji na Kibiti. Ikiwa ni pamoja na askari na Viongozi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji. Fikiria hapo kwanza. Kisha nitakupa mifano mingine zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo penyewe, waliopigwa risasi ni wengi walio na vyama na wasio na vyama,lakini kwa wanachama wa CCM na kwa wale wasio na vyama angalau tumesikia watuhumiwa waliohusika wameuawa au wamekamatwa, lakini kwa tukio la Lissu hata mtuhumiwa wa kusingiziwa hajakamatwa.
 
Mkuu walio mpiga Lissu risasi ni watu wale wanaotoka kwenye nchi ya watu wasiyojulikana
In God we trust
 
Mbona suara la Lissu hukuliweka hapo
In God we trust
 
Ni kweli kabisa ndio maana siku zote simkubali kabisa Mbowe na Genge lake.
Wameharibu sana harakati za kudai Demokrasia Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui itakuja kwa njia gani nawaza tu hapo bandarini
 
inawezekana kabisa pesa alizokua anachangiwa kwa ajili ya kujikimu ndo kanunua hilo bus ili kuvuta attention ya wanachadema wampitishe kugombea urais, huko sisi hatuiingilii nyie chadema paruaneni makucha na bus lenu mwisho wa siku mpitisheni mwingine kugombea urais mbali na lisu...hapo ndo mtashuhudia mpasuko wa chama chenu, lisu atakasirika na kujiunga na chama dume afrika-ccm
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…