Teeeeeeeh Teeeeeeeeeh Teeeeeeeeh Teeeeeeeh
Dadadeeki hadi utapata ugonjwa wa moyo kisa CHAMA DUME....CHADEMA...
In God we trust
PHOTOSHOP......... !!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teeeeeeeh Teeeeeeeeeh Teeeeeeeeh Teeeeeeeh
Dadadeeki hadi utapata ugonjwa wa moyo kisa CHAMA DUME....CHADEMA...
In God we trust
Mmevurugwa tu wenye akili wanakudhalau
In God we trust
Litapiga ruti ipi nikalipande? maana inatakiwa lichangie gharama za matibabu hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio haya nayasema
Mkuu jamaa hawana akili, mwenzao leo katoa video anaomba msaada achangiwe baada ya kusitishiwa mshahara, huyu kakomaa na basi kutoka Google images, simple LOGIC waliomchangia kununua basi Kama kweli si waendelee kumchangia kuishi na matibabu?Ndio haya nayasema
Halafu sio kila mmoja humu ni politician
Wao kila anaetoa rai ni mgomvi wao.
Siasa mbaya sana kwa kweli halafu kama hulipwi ndio mbaya zaidi maana unakuwa mkali zaidi hahahaha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
We kweli punguwani utasubiri sana hilo bus kuliona,yani hapo sawa na kujichoma kidole kisha na kujinusa.Mtatafuta kila maneno ya kujiliwaza
In God we trust
We kweli punguwani utasubiri sana hilo bus kuliona,yani hapo sawa na kujichoma kidole kisha na kujinusa mwenyewe.Mtatafuta kila maneno ya kujiliwaza
In God we trust
We kweli punguwani utasubiri sana hilo bus kuliona,yani hapo sawa na kujichoma kidole kisha na kujinusa mwenyewe.
Mkuu jamaa hawana akili, mwenzao leo katoa video anaomba msaada achangiwe baada ya kusitishiwa mshahara, huyu kakomaa na basi kutoka Google images, simple LOGIC waliomchangia kununua basi Kama kweli si waendelee kumchangia kuishi na matibabu?
Sasa mimi nawewe nani mwenye akili nusu,hapo ata ukiulizwa thibitisha ununuzi wa hilo basi au kielelezo (source ya infomation) huwezi kujibu chochote unakaa kwa shemeji yako kuazima laptop yake nakudownload picha ya bus scania touring na ku edit kuweka maneno ya chadema kama vile kweli chadema wamepewa bus kumbe yote hayo ni lofa mmoja kukosa kazi yakufanya,nyie ndio mnaoishushia heshima JF. Unashindwa kutofautisha JF na FB .kuweka habari ya uwongo unafaidika nanini kama sio upunguwani huo. Shame on you.Sisi tupo tunamchangia sana mh Lissu sijui nyinyi ma green mamba mnawashwa na nini?
In God we trust
Hii habari imeleta tabu kubwa sana ! wanaweweseka balaa !Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Sasa mimi nawewe nani mwenye akili nusu,hapo ata ukiulizwa thibitisha ununuzi wa hilo basi au kielelezo (source ya infomation) huwezi kujibu chochote unakaa kwa shemeji yako kuazima laptop yake nakudownload picha ya bus scania touring na ku edit kuweka maneno ya chadema kama vile kweli chadema wamepewa bus kumbe yote hayo ni lofa mmoja kukosa kazi yakufanya,nyie ndio mnaoishushia heshima JF. Unashindwa kutofautisha JF na FB .kuweka habari ya uwongo unafaidika nanini kama sio upunguwani huo. Shame on you.
Kama haya ya photoshop ni kweli, yanafanywa kwa faida ipi hasa?
Mkuu ni kweli, nimekuwekea hadi link ya website walipotoa hiyo picha na imekuwa uploaded mtandaoni April last year, huwa ni kawaida siku hizi wakiona Lissu hasikiki wanakuja na uongo, hukumbuki wakisema Lissu atakutana na Trump na Papa?,wamedanganya eti atahutubia bunge la Marekani yote ni uongo tu.Sielewi wanapata faida gani?Kama haya ya photoshop ni kweli, yanafanywa kwa faida ipi hasa?