Na nashangaa Mods wanauacha uongo una trend sielewi sababu gani?Kama haya ya photoshop ni kweli, yanafanywa kwa faida ipi hasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nashangaa Mods wanauacha uongo una trend sielewi sababu gani?Kama haya ya photoshop ni kweli, yanafanywa kwa faida ipi hasa?
Kama ndivyo, basi haya si matumizi mazuri ya ubongo!Mkuu ni kweli, nimekuwekea hadi link ya website walipotoa hiyo picha na imekuwa uploaded mtandaoni April last year, huwa ni kawaida siku hizi wakiona Lissu hasikiki wanakuja na uongo, hukumbuki wakisema Lissu atakutana na Trump na Papa?,wamedanganya eti atahutubia bunge la Marekani yote ni uongo tu.Sielewi wanapata faida gani?
Muulize Lissu atakujibuHiyo ni 10,000 dash au 10,000 kutoa?
Uandike wewe aulizwe Lissu? bure kabisa! haya mkirudisha mshahara na marupurupu yake nitafata hayo maelekezo yakoMuulize Lissu atakujibu
Uandike wewe aulizwe Lissu? bure kabisa! haya mkirudisha mshahara na marupurupu yake nitafata hayo maelekezo yako
Sikiliza mkuu usipende kuandika vitu usivyo vielewa. Jeshi lolote lile ulimwenguni likiwa katika Operation lazima collateral damage itokee...kuna kikundi cha kigaidi ndicho kilichokuwa kinaua viongozi wa serekali na ccm maeneo ya mkuranga-kibiti-rufiji.
..kikundi hicho inasemekana kina mahusiano na kikundi kingine kilichoko kaskazini ya Msumbiji ktk jimbo ambako imegundulika hazina kubwa ya gesi.
..kuna kikundi kingine kilichokuwa kikishughulikia viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani.
..Vyombo vya dola vingekuwa huru na wawazi vingeshughulika na vikundi hivyo viwili na kuwafikisha wahusika mbele ya vyombo vya sheria/mahakama.
..So far, inaelekea walioshughulikiwa ni kile kikundi cha magaidi wa mkuranga-kibiti-rufiji. Lakini serekali haijaeleza wahusika walikuwa ni kina nani, na kwanini walikuwa wakiua viongozi wa serekali na CCM.
..Wakati huohuo serekali imeonyesha kutokujali kabisa kuhusu kupotezwa na kuuwawa kwa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani.
NB.
..katika kushughulika na magaidi wa mkuranga-kibiti-rufiji kuna wananchi zaidi ya 300 inatuhumiwa walichukuliwa na vyombo vya dola ktk maeneo mbalimbali.
..kuna madai ya wengine kutukuonekana kabisa, na waliobahatika kurudi majumbani kwao wamerudi wakiwa na majeraha au vilema.
..kuna tukio la mbunge mmoja wa kusini kumpeleka mhanga wa operation iliyofanyika kusini kwa waziri mkuu, na inasemekana waziri mkuu alisikitishwa na hali ya mwananchi huyo.
Cc Mmawia , tindo
Sikiliza mkuu usipende kuandika vitu usivyo vielewa. Jeshi lolote lile ulimwenguni likiwa katika Operation lazima collateral damage itokee.
Angalia Operation ya jeshi la Marekani 1991 katika kuiokoa Quwait. Iraq baada ya September 11. Rais Clinton wa Amerika alichofanya Sudan katika harakati za kumwangamiza Osama Bin Laden, Rais Obama naye hivyo hivyo Pakistan katika harakati za kummaliza Osama Bin Laden, mwaka jana jeshi la polisi la Spain, katika kuwazuia maseparatist wasipige kura ya kujitenga na mwaka huu polisi wa Ufaransa, Yellow Vest. Watu wasio husika ina weza ikawakuta tu. Hata kama lengo sio hilo. Hiyo ni hali halisi ya maisha. "So Leid es mir tut."
Kibiti ilikuwa vita kati yetu na kikundi cha magaidi. Katika hali kama hiyo of course kila aliye jeruhiwa atadai kuwa hakuhusika. Ni kawaida. Hata hivi sasa Syria katika mapambano kati ya kikundi cha wa Kurdistan wanao saidiwa na Amerika against ISIS, wa ISIS wengi wanakamatwa na wengine kujisalimisha wenyewe wengi wao baada ya kupata majeraha. Of course nao wanasingizia hawakuhusikia wanadai ISIS ndio walio kuwa wanawalazimisha kufanya uovu huo. Ajabu ni kuwa waeuropean walitekwa huko kwao na kupelekwa Syria? Huo ni uongo!
Be carefull mkuu katika kueleza ukweli wa mambo. Baba yangu alikuwa Uganda katika vita ya Kagera. Dhamora haikuwa kumwuua kila mtu ambaye alihusika na Id Amin Dada, lengo lilikuwa kumwondoa Dikteta, katika mashambulizi hutokea watu ambao hawahusiki kukutwa na mkasa. Huwezi ukazuia na kumlaumu mkombozi. Mlaumu mwanzilishi. Katika vita ya Kagera mwanzilishi alikuwa Ido Amin Dada na majeshi yake ya kukodisha.
Na Kibiti sisi wala jeshi letu la polisi chini ya uongozi wa kamanda Silo hatukuanza huo msuko msuko, jeshi letu lili react tu katika jitihada za kuwaokoa raia walio kutwa na huo mkasa. Wewe hujui walikuwa wangapi na hakuna mtu anajua idadi yao.
Kwa vile mwana jeshi ni binadam kama wewe na mimi kitu cha kwanza ukiwa vitani ni kuwa na akili ya kujiahami ili usife. Katika situation kama hiyo inawezekana mwanajeshi akafanya makosa. Hiyo inatokea. Lengo lake ndiyo muhimu. Kuokoa binadam wenzake na kwamba adui asimshinde.
Nyie vijana mlio zaliwa na kukua kipindi cha Rais Mkapa na Rais Kikwete mna shida sana, mnatakiwa mwende JKT mkajifunze kuwa wanaume. Mna ukike ukike mwingi sana na ndiyo maana hamwezi tofautisha kati ya adui na raia mwema.
It is sad kuona vijana wa leo kuto kuwa na uwezo wa kutambua msimamo na dhamira ya adui wake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa kuna ka module is CRITICAL THINKING nafikiri ni vizuri wakasome. Humo vichwani mwao logical reasoning ni ZEROMkuu jamaa hawana akili, mwenzao leo katoa video anaomba msaada achangiwe baada ya kusitishiwa mshahara, huyu kakomaa na basi kutoka Google images, simple LOGIC waliomchangia kununua basi Kama kweli si waendelee kumchangia kuishi na matibabu?
Hawa jamaa kuna ka module is CRITICAL THINKING nafikiri ni vizuri wakasome. Humo vichwani mwao logical reasoning ni ZERO
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
..kinachotakiwa ni kufanyika UCHUNGUZI kubaini kama kupotea kwa wananchi hao was justifiable or not.
Nasikia jamaa analia njaa huko Ubeligiji na anaomba msaada. Kwanini aiuze hilo basi hahahahahahahO brain @ work
In God we trust
Nasikia jamaa analia njaa huko Ubeligiji na anaomba msaada. Kwanini aiuze hilo basi hahahahahahah
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Mkuu mbona unateseka sana?Unajitahid sana kumbrand lisu,kaza buti huenda utakua konda kwenye basi lake.Ndiyo tatizo la kuzaliwa kwenye familia yenye utapia mlo lazima akili yako iyumbe kama yako
In God we trust
Yours is a stupid reasoning I have ever seen. Hao magaidi walitoka wapi, Msumbiji, Malawi au Somalia? Haiwezekani wanavijiji karibu 400 wawe ni magaidi!!!?Kamwambie baba yako amchunguze mama yako kama sperms zake zote alizo zimimina kwake ilikuwa justfiable kuziua na moja tu kuiacha kukutoa wewe.
Nenda kawaulize wajerumani kama wajerumani wote waliokufa vitani kwenye vita zote kuu mbili za dunia ilikuwa justfiable wao kuuawa kwa wingi. Utakuwa unapigwa nyuma ukiendelea kuendeleza mawazo ya "usodo usodo" wa kike.
Polisi walienda kupambana na wahaini wasio tutakia sisi na nchi yetu mema na kutaka kutujaribu. Kipigo walichokipata ni sahihi. Wasirudie tena! Inawezekana watu kama wewe ni wa kuwatilia mashaka. Pengine wewe na hao wafuasi wako mlihusika katika kutaka kuleta machafuko ya nchi yetu, je?
Kajipange upya na uje tena. Mara hii walete na watu wa kukaa kando kando ya Battle field ili wachunguze kama sisi tunawatandika vibaya. Mpuuzi sana wewe. Mtu ana silaa na kuteketeza wananchi wetu wasio kuwa na hatia, wewe una taka tulete maneno ya kuwachekea chekea? Fuse yako itakuwa ime bust ubongoni nini?
Tambua kuwa watanzania ni wanaume ambao hawana mzaa mzaa tukija katika maswala yanayo husu usalama wa watu wa nchi yetu na mali zetu. Msitujaribu! Mtaumia! Kawaulize wana Uganda na watu wa visiwa vya Comoro wata kueleza mTZ ni ntu wa aina gani. Unacheza na wana TZ? Kawajaribuni watu wa mataifa mengine na sio sisi. Sisi tumetairiwa na Ngariba mkuu kama hujui. Hatuna magovi.
Hatuchunguzi na wala hatuna interest ya kutaka kujua. Mnaanzisha vita halafu mnataka watu wawachekee chekee. Dhubutuuuuu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe falah sana! I am sorry! Kwa nini watu 400 wasiweze kuwa magaidi? Na nani alikuambia kuwa wao walikuwa wana Kijiji? Identities zao unazijua, mpaka ukathibitisha kuwa walikuwa wana Kijiji? Ni watu wa Kijiji gani hao? Umesha sikia kuwa katika battle field magaidi wanaweza wakatumia raia kama ngao yao?Yours is a stupid reasoning I have ever seen. Hao magaidi walitoka wapi, Msumbiji, Malawi au Somalia? Haiwezekani wanavijiji karibu 400 wawe ni magaidi!!!?
Kamwambie baba yako amchunguze mama yako kama sperms zake zote alizo zimimina kwake ilikuwa justfiable kuziua na moja tu kuiacha kukutoa wewe.