Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Mkuu ni kweli, nimekuwekea hadi link ya website walipotoa hiyo picha na imekuwa uploaded mtandaoni April last year, huwa ni kawaida siku hizi wakiona Lissu hasikiki wanakuja na uongo, hukumbuki wakisema Lissu atakutana na Trump na Papa?,wamedanganya eti atahutubia bunge la Marekani yote ni uongo tu.Sielewi wanapata faida gani?
Kama ndivyo, basi haya si matumizi mazuri ya ubongo!
 
Haya fanyeni kuileta Tanzania kama haijakwama pale bandarini, alafu nimegundua wanao post picha wanakula Baga na Piza sababu ni vitu Vigeni kwenye midomo yao... Lakni pia sikuwahi kujua kama wanaopga selfie kwenye Range rover kua n mara yao ya kwanza kukaa ndani ya magari hayo ya kifahari.

Sema nini hongereni cdm wa ubelgiji kwa mshkamano na siku nyingine ya oparesheni UKUTA mshrikiane hvyo hvyo mtoke barabarani muoneshe uzalendo kuunga makubaliano ya chama chenu.

Hiki chama kuichukua nchi bado sana labda baada ya mjukuu wa mjukuu wangu kuzaliwa tena n kwa serikali mseto.
 
Uandike wewe aulizwe Lissu? bure kabisa! haya mkirudisha mshahara na marupurupu yake nitafata hayo maelekezo yako

Turudishe kwa mtumishi mtoro?
Nguvu anazopata kwenda USA, UK nk ndiyo hizo alipaswa kuzitumia kuhudhuria vikao vya Bunge
 
..kuna kikundi cha kigaidi ndicho kilichokuwa kinaua viongozi wa serekali na ccm maeneo ya mkuranga-kibiti-rufiji.

..kikundi hicho inasemekana kina mahusiano na kikundi kingine kilichoko kaskazini ya Msumbiji ktk jimbo ambako imegundulika hazina kubwa ya gesi.

..kuna kikundi kingine kilichokuwa kikishughulikia viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani.

..Vyombo vya dola vingekuwa huru na wawazi vingeshughulika na vikundi hivyo viwili na kuwafikisha wahusika mbele ya vyombo vya sheria/mahakama.

..So far, inaelekea walioshughulikiwa ni kile kikundi cha magaidi wa mkuranga-kibiti-rufiji. Lakini serekali haijaeleza wahusika walikuwa ni kina nani, na kwanini walikuwa wakiua viongozi wa serekali na CCM.

..Wakati huohuo serekali imeonyesha kutokujali kabisa kuhusu kupotezwa na kuuwawa kwa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani.

NB.

..katika kushughulika na magaidi wa mkuranga-kibiti-rufiji kuna wananchi zaidi ya 300 inatuhumiwa walichukuliwa na vyombo vya dola ktk maeneo mbalimbali.

..kuna madai ya wengine kutukuonekana kabisa, na waliobahatika kurudi majumbani kwao wamerudi wakiwa na majeraha au vilema.

..kuna tukio la mbunge mmoja wa kusini kumpeleka mhanga wa operation iliyofanyika kusini kwa waziri mkuu, na inasemekana waziri mkuu alisikitishwa na hali ya mwananchi huyo.

Cc Mmawia , tindo
Sikiliza mkuu usipende kuandika vitu usivyo vielewa. Jeshi lolote lile ulimwenguni likiwa katika Operation lazima collateral damage itokee.

Angalia Operation ya jeshi la Marekani 1991 katika kuiokoa Quwait. Iraq baada ya September 11. Rais Clinton wa Amerika alichofanya Sudan katika harakati za kumwangamiza Osama Bin Laden, Rais Obama naye hivyo hivyo Pakistan katika harakati za kummaliza Osama Bin Laden, mwaka jana jeshi la polisi la Spain, katika kuwazuia maseparatist wasipige kura ya kujitenga na mwaka huu polisi wa Ufaransa, Yellow Vest. Watu wasio husika ina weza ikawakuta tu. Hata kama lengo sio hilo. Hiyo ni hali halisi ya maisha. "So Leid es mir tut."

Kibiti ilikuwa vita kati yetu na kikundi cha magaidi. Katika hali kama hiyo of course kila aliye jeruhiwa atadai kuwa hakuhusika. Ni kawaida. Hata hivi sasa Syria katika mapambano kati ya kikundi cha wa Kurdistan wanao saidiwa na Amerika against ISIS, wa ISIS wengi wanakamatwa na wengine kujisalimisha wenyewe wengi wao baada ya kupata majeraha. Of course nao wanasingizia hawakuhusikia wanadai ISIS ndio walio kuwa wanawalazimisha kufanya uovu huo. Ajabu ni kuwa waeuropean walitekwa huko kwao na kupelekwa Syria? Huo ni uongo!

Be carefull mkuu katika kueleza ukweli wa mambo. Baba yangu alikuwa Uganda katika vita ya Kagera. Dhamora haikuwa kumwuua kila mtu ambaye alihusika na Id Amin Dada, lengo lilikuwa kumwondoa Dikteta, katika mashambulizi hutokea watu ambao hawahusiki kukutwa na mkasa. Huwezi ukazuia na kumlaumu mkombozi. Mlaumu mwanzilishi. Katika vita ya Kagera mwanzilishi alikuwa Ido Amin Dada na majeshi yake ya kukodisha.

Na Kibiti sisi wala jeshi letu la polisi chini ya uongozi wa kamanda Silo hatukuanza huo msuko msuko, jeshi letu lili react tu katika jitihada za kuwaokoa raia walio kutwa na huo mkasa. Wewe hujui walikuwa wangapi na hakuna mtu anajua idadi yao.

Kwa vile mwana jeshi ni binadam kama wewe na mimi kitu cha kwanza ukiwa vitani ni kuwa na akili ya kujiahami ili usife. Katika situation kama hiyo inawezekana mwanajeshi akafanya makosa. Hiyo inatokea. Lengo lake ndiyo muhimu. Kuokoa binadam wenzake na kwamba adui asimshinde.

Nyie vijana mlio zaliwa na kukua kipindi cha Rais Mkapa na Rais Kikwete mna shida sana, mnatakiwa mwende JKT mkajifunze kuwa wanaume. Mna ukike ukike mwingi sana na ndiyo maana hamwezi tofautisha kati ya adui na raia mwema.

It is sad kuona vijana wa leo kuto kuwa na uwezo wa kutambua msimamo na dhamira ya adui wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..kinachotakiwa ni kufanyika UCHUNGUZI kubaini kama kupotea kwa wananchi hao was justifiable or not.
 
Mkuu jamaa hawana akili, mwenzao leo katoa video anaomba msaada achangiwe baada ya kusitishiwa mshahara, huyu kakomaa na basi kutoka Google images, simple LOGIC waliomchangia kununua basi Kama kweli si waendelee kumchangia kuishi na matibabu?
Hawa jamaa kuna ka module is CRITICAL THINKING nafikiri ni vizuri wakasome. Humo vichwani mwao logical reasoning ni ZERO

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
O brain @ work

In God we trust
 
.....
.....Msafara Mkubwa kuanzia Namanga hii watu lazima wazimie ..ama kuizraelika
 
..kinachotakiwa ni kufanyika UCHUNGUZI kubaini kama kupotea kwa wananchi hao was justifiable or not.

Kamwambie baba yako amchunguze mama yako kama sperms zake zote alizo zimimina kwake ilikuwa justfiable kuziua na moja tu kuiacha kukutoa wewe.

Nenda kawaulize wajerumani kama wajerumani wote waliokufa vitani kwenye vita zote kuu mbili za dunia ilikuwa justfiable wao kuuawa kwa wingi. Utakuwa unapigwa nyuma ukiendelea kuendeleza mawazo ya "usodo usodo" wa kike.

Polisi walienda kupambana na wahaini wasio tutakia sisi na nchi yetu mema na kutaka kutujaribu. Kipigo walichokipata ni sahihi. Wasirudie tena! Inawezekana watu kama wewe ni wa kuwatilia mashaka. Pengine wewe na hao wafuasi wako mlihusika katika kutaka kuleta machafuko ya nchi yetu, je?

Kajipange upya na uje tena. Mara hii walete na watu wa kukaa kando kando ya Battle field ili wachunguze kama sisi tunawatandika vibaya. Mpuuzi sana wewe. Mtu ana silaa na kuteketeza wananchi wetu wasio kuwa na hatia, wewe una taka tulete maneno ya kuwachekea chekea? Fuse yako itakuwa ime bust ubongoni nini?

Tambua kuwa watanzania ni wanaume ambao hawana mzaa mzaa tukija katika maswala yanayo husu usalama wa watu wa nchi yetu na mali zetu. Msitujaribu! Mtaumia! Kawaulize wana Uganda na watu wa visiwa vya Comoro wata kueleza mTZ ni ntu wa aina gani. Unacheza na wana TZ? Kawajaribuni watu wa mataifa mengine na sio sisi. Sisi tumetairiwa na Ngariba mkuu kama hujui. Hatuna magovi.

Hatuchunguzi na wala hatuna interest ya kutaka kujua. Mnaanzisha vita halafu mnataka watu wawachekee chekee. Dhubutuuuuu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
O brain @ work

In God we trust
Nasikia jamaa analia njaa huko Ubeligiji na anaomba msaada. Kwanini aiuze hilo basi hahahahahahah

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ndiyo tatizo la kuzaliwa kwenye familia yenye utapia mlo lazima akili yako iyumbe kama yako

Mkuu mbona unateseka sana?Unajitahid sana kumbrand lisu,kaza buti huenda utakua konda kwenye basi lake.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kamwambie baba yako amchunguze mama yako kama sperms zake zote alizo zimimina kwake ilikuwa justfiable kuziua na moja tu kuiacha kukutoa wewe.

Nenda kawaulize wajerumani kama wajerumani wote waliokufa vitani kwenye vita zote kuu mbili za dunia ilikuwa justfiable wao kuuawa kwa wingi. Utakuwa unapigwa nyuma ukiendelea kuendeleza mawazo ya "usodo usodo" wa kike.

Polisi walienda kupambana na wahaini wasio tutakia sisi na nchi yetu mema na kutaka kutujaribu. Kipigo walichokipata ni sahihi. Wasirudie tena! Inawezekana watu kama wewe ni wa kuwatilia mashaka. Pengine wewe na hao wafuasi wako mlihusika katika kutaka kuleta machafuko ya nchi yetu, je?

Kajipange upya na uje tena. Mara hii walete na watu wa kukaa kando kando ya Battle field ili wachunguze kama sisi tunawatandika vibaya. Mpuuzi sana wewe. Mtu ana silaa na kuteketeza wananchi wetu wasio kuwa na hatia, wewe una taka tulete maneno ya kuwachekea chekea? Fuse yako itakuwa ime bust ubongoni nini?

Tambua kuwa watanzania ni wanaume ambao hawana mzaa mzaa tukija katika maswala yanayo husu usalama wa watu wa nchi yetu na mali zetu. Msitujaribu! Mtaumia! Kawaulize wana Uganda na watu wa visiwa vya Comoro wata kueleza mTZ ni ntu wa aina gani. Unacheza na wana TZ? Kawajaribuni watu wa mataifa mengine na sio sisi. Sisi tumetairiwa na Ngariba mkuu kama hujui. Hatuna magovi.

Hatuchunguzi na wala hatuna interest ya kutaka kujua. Mnaanzisha vita halafu mnataka watu wawachekee chekee. Dhubutuuuuu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yours is a stupid reasoning I have ever seen. Hao magaidi walitoka wapi, Msumbiji, Malawi au Somalia? Haiwezekani wanavijiji karibu 400 wawe ni magaidi!!!?
 
Wewe falah sana! I am sorry! Kwa nini watu 400 wasiweze kuwa magaidi? Na nani alikuambia kuwa wao walikuwa wana Kijiji? Identities zao unazijua, mpaka ukathibitisha kuwa walikuwa wana Kijiji? Ni watu wa Kijiji gani hao? Umesha sikia kuwa katika battle field magaidi wanaweza wakatumia raia kama ngao yao?

Hivyo wewe unaijua vita lakini? Hiyo namba ya idadi ya wana Kijiji uliipata wapi? Ulikuwepo kwenye hiyo vita? Unaweza niambia magaidi wanakuwa na idadi gani? Wanne sita au 1000? ISIS wako wangapi? Alshabbu nao je? Al-Kaida walikuwa wangapi? Na Bokoharam je? Sio magaidi?

Acha ushamba wewe. Magaidi ni magaidi wawe kutoka Tanzania au Msumbiji au Ulaya. Unaweza ukaniambia ISIS wote ni waarabu kutoka Syria au Saud Arabia? Unajua idadi kubwa ya ISIS ni wa European kutoka Ujerumani na nchi nyingine za East Europe? Magaidi sio majambazi. Magaidi ni wanajeshi wenye silaha za kivita. Na wako tayari kuua mtu yeyote yule asiye kwenda na matakwa yao.

Naomba tafuta kwanza informations vizuri kabla hujaanza kutoa hoja za kinjinga kama hizi kuhusu Magaidi!!!
1552597797763%7E2.jpeg

Huo ni mji wa Raqqa Syria ambako US lead Coalition Truppe iliukomboa kutoka mikononi mwa ISIS. Unajua raia wangapi waliuawa? Kuna mtu alienda kuchunguza mpaka sasa kujua raia wangapi walikuwa kwenye mapambano? Watu wengine ni mazezeta kweli kweli! Maswali gani haya unauliza?

Hivyo wewe unafikiri gaidi anapenda kufa kinjinga kama wewe unavyo dhani? Of course atajitahidi atakavyo weza hata kuwazuia raia wasiondoke au kuwaweka kama ngao yake ili msimu-attack.

Angalia vizuri hiyo picha ya Raqqa Syria. Askari atajua wapi adui amejificha? Jaribu kufikiri kijana. Msomi wa mitandaoni. Hapo collateral damage lazima itokee. Hakuna excuse! Wewe unafikiri Uganda raia wangapi waliuawa, ambao hawakujitakia kifo, lakini walijikuta wako katika mapambano? Wewe unafikiri bomu lina macho ya kutambua nani ni adui na nani sio? Acha ushoga wako hapa!

Nenda kwenye battle field uone watu wanavyo miminiana risasi na mabomu. Nafikiri utaelewa nini maana ya vita.

Wewe ulitaka polisi wetu wawaombe magaidi wajisalimishe na wao kukubali Ombi hilo? Du bist echt beknackt! (You are really stupid!)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamwambie baba yako amchunguze mama yako kama sperms zake zote alizo zimimina kwake ilikuwa justfiable kuziua na moja tu kuiacha kukutoa wewe.

Nenda kawaulize wajerumani kama wajerumani wote waliokufa vitani kwenye vita zote kuu mbili za dunia ilikuwa justfiable wao kuuawa kwa wingi. Utakuwa unapigwa nyuma ukiendelea kuendeleza mawazo ya "usodo usodo" wa kike.

Polisi walienda kupambana na wahaini wasio tutakia sisi na nchi yetu mema na kutaka kutujaribu. Kipigo walichokipata ni sahihi. Wasirudie tena! Inawezekana watu kama wewe ni wa kuwatilia mashaka. Pengine wewe na hao wafuasi wako mlihusika katika kutaka kuleta machafuko ya nchi yetu, je?

Kajipange upya na uje tena. Mara hii walete na watu wa kukaa kando kando ya Battle field ili wachunguze kama sisi tunawatandika vibaya. Mpuuzi sana wewe. Mtu ana silaa na kuteketeza wananchi wetu wasio kuwa na hatia, wewe una taka tulete maneno ya kuwachekea chekea? Fuse yako itakuwa ime bust ubongoni nini?

Tambua kuwa watanzania ni wanaume ambao hawana mzaa mzaa tukija katika maswala yanayo husu usalama wa watu wa nchi yetu na mali zetu. Msitujaribu! Mtaumia! Kawaulize wana Uganda na watu wa visiwa vya Comoro wata kueleza mTZ ni ntu wa aina gani. Unacheza na wana TZ? Kawajaribuni watu wa mataifa mengine na sio sisi. Sisi tumetairiwa na Ngariba mkuu kama hujui. Hatuna magovi.

Hatuchunguzi na wala hatuna interest ya kutaka kujua. Mnaanzisha vita halafu mnataka watu wawachekee chekee. Dhubutuuuuu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

..kwanza sitakurudishia MATUSI uliyofurumusha.

..vilevile sitakuripoti kwa moderator, ingawa ilistahili nikuripoti.

..kuna UHALIFU huwa unatokea wakati wa vita.

..uchunguzi hauepukiki ili kuthibitisha kuwa yaliyotokea mkuranga-kibiti-rufiji hayakuwa uhalifu.

..na kama unadai watu 300+ waliopotea ni "collateral damage" basi jamaa zao wanastahili kulipwa FIDIA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom