Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Asavali hakutumiwa pesa za matibabu na ufisi ya Bunge, ambazo ni fedha za serikali, maana hawachelewi kusema ndizo zimenunulia hilo basi.

Sijui kama walionunua hilo basi, waliwauliza Chadema serious na critical demands zao ni nini, wakaambiwa ni basi, then wakapewa basi, au watoa zawadi walijiamulia tuu kujitolea zawadi, wakachagua kujitolea basi.

Kuelekea 2020, Chadema inahitaji sana misaada ya hali na mali ili iweze.
P
 
Jumanne ya Leo unaakili zako sijui jumanne ijayo mkuu!
 
Asavali hakutumiwa pesa za matibabu na ufisi ya Bunge, ambazo ni fedha za serikali, maana hawachelewi kusema ndizo zimenunulia hilo basi.

Sijui kama walionunua hilo basi, waliwauliza Chadema serious na critical demands zao ni nini, wakaambiwa ni basi, then wakapewa basi, au watoa zawadi walijiamulia tuu kujitolea zawadi, wakachagua kujitolea basi.

Kuelekea 2020, Chadema inahitaji sana misaada ya hali na mali ili iweze.
P

Una uhakika Paskali na hii habari? Ww ni verified Ni bora ujiridhishe. Na hata kama ni kweli, basi alilopewa Lissu kwa aina ya siasa za Magufuli litaruhusiwa kuingia hapa nchini?
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Traffic police watalipiga Notification kila likionekana barabarani, wasivyo na aibu
 
QC
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
CHADEMA acheni kutuumiza

CHADEMA ache kutuumiza mulianza na magwanda tumetengeneza ya kijani na meusi, baadaye mkaanza na helkopta hatukuwa nyuma tukapambana leo hii ni miaka helkopta yetu ilimuua mtu muhimu sana!

Mumeanza kuja na basi na sisi tutanunua basi ila sasa sijui basi letu litaondoka nani? Kwa sababu watanzania wanavutiwa na basi lenu wakati wa kampeni tutakodi hata kwa majirani wetu kenya! Haiwezekani sisi tukusanye kodi alafu vitu vizuri mumiliki nyie tutapambana sambamba na nyie.
 
Mvua ya baraka za Mungu na zinyeshe kwako rais wetu Tundu Lissu ziku zote mpaka utakapo msambaratisha jiwe kwa kura
 
Una uhakika Paskali na hii habari? Ww ni verified Ni bora ujiridhishe. Na hata kama ni kweli, basi alilopewa Lissu kwa aina ya siasa za Magufuli litaruhusiwa kuingia hapa nchini?
Kuona ni kuamini, basi ndio hilo tumeliona, hakuhitaji kuhoji hiyo habari.
Sio rais Magufuli ndiye anayeruhusu mabasi yaingie au yasiingie, kama basi limekidhi viwango, litaruhusiwa kuingia, ali mradi litalipiwa kodi husika.
P.
 
Watanzania waishio nchini Ubelgiji wamemzawadia mheshimiwa Tundu Lissu gari kama zawadi na pole kwa maswahibu yaliyomkuta

Asante watz wenzetu mnaoishi huko duniani kwa kujali utu.
FB_IMG_1552401847073.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
mbona halina mlango upande wa kushoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuona ni kuamini, basi ndio hilo tumeliona, hakuhitaji kuhoji hiyo habari.
Sio rais Magufuli ndiye anayeruhusu mabasi yaingie au yasiingie, kama basi limekidhi viwango, litaruhusiwa kuingia, ali mradi litalipiwa kodi husika.
P.

Kama anaweza kuagiza bunge na mahakama wafanye atakavyo, basi kitu gani bwana?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom