Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo juu mngeandika kwa BAVICHA TU.Kwakua hamjawa specific basi hatuna budi kuwapa elimu.Kuna application inaitwa Adobe Photoshop, hii inaweza kukuedit wewe uko na trump mnapiga story, ni wataalam wa picha tu na wajanja wa hivi vitu wanaweza gundua picha sio HALISI. Jitahidi uzoom kwa makini hiyo picha uone then nakutumia na picha HALISI na link huyo jamaa alikoitoa.Umetumwa kuujambia Uzi wetu eeh
Dah mleta mada anaitwa Mmawia, Leo amegeuka kuwa Lumumba?,huoni alivyojitutumua kutetea Basi lake alilomnunulia Lissu kutoka Google images akampigia na chata za Chadema kabisa?,kubali tu mwenzenu katafuta Kiki kwaajili ya Lissu ikabuma, ikashtukiwa.Hii ni propaganda mbaya kutoka Lumumba..Apa unaweza kuona ni jinsi gani bado jamii ipo kwenye Ujima
Basi la Lissu limekuuma sana sio kama vipi kua first lady wa Lissu ukae kiti cha mbeleDah mleta mada anaitwa Mmawia, Leo amegeuka kuwa Lumumba?,huoni alivyojitutumua kutetea Basi lake alilomnunulia Lissu kutoka Google images akampigia na chata za Chadema kabisa?,kubali tu mwenzenu katafuta Kiki kwaajili ya Lissu ikabuma, ikashtukiwa.
Hahaha... Liniume basi la kuchora?,ni Sawa na kumuonea wivu mtu anayekula ugali kwa picha ya samaki.. Siku nyingine msiingie kichwa kichwa mfanye tafiti, mnalishana Sana matangopori humu na mkashangilia Kama mazuzu.Basi la Lissu limekuuma sana sio kama vipi kua first lady wa Lissu ukae kiti cha mbele
Yaani mumejimakini kwa upotofu wenu. Munajua kama kura hamukushinda ila muliiba. Nape Nnauye ameungama kwa hili.Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu unawezaje kujua level ya ujingaTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Jamani jamani mtaua watu kwa pressure
Likiingia bandarini litadaiwa kodi ya kwanzia 1992 kipindi ambacho vyama vingi vimeanzishwa ata kama manufactor date ni 2018
Nyumbu ni CCM hata mbugani hao nyumbu ni wengi wewe mwenyewe ni mbumbumbu zuzu juha kilaza mkubwa hujitambui huna Akili hata chembe mifano yako ni ya kizezeta peleka kwa majuha wenzako.Kwamba hakuna hata bavicha mmoja humu aliye na elimu ya Photoshop zaidi ya huyo mtoa mada?Kwamba hakuna hata bavicha mmoja humu mwenye viakili kidogo kuhoji source ya hiyo habari?mkiitwa nyumb ******* wanakosea?View attachment 1044319View attachment 1044320View attachment 1044321
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Busted... thanks..... fotoshopuSawa mkuu,turudi kwenye gari yetu mpya ni ipi kati ya hizi mbili ni fake?View attachment 1044024View attachment 1044025
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Una hasira sana we mtoto !. Kunywa sumu ufe usishudie machukixo kwakoTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Achaneni na basi, huo ni mwanzo zinaandaliwa helikopters na ndege Lissu si mchezo. MtamtambuaKwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Una hasira sana we mtoto !. Kunywa sumu ufe usishudie machukixo kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbu ni CCM hata mbugani hao nyumbu ni wengi wewe mwenyewe ni mbumbumbu zuzu juha kilaza mkubwa hujitambui huna Akili hata chembe mifano yako ni ya kizezeta peleka kwa majuha wenzako.