Tundu Lissu azungumza na Wananchi na Wanachama wa CHADEMA - Januari 01, 2025

..tujadili hoja bila kuangalia nani ametoa hoja hiyo.

..kumetolewa pendekezo la kurudisha ukomo wa madaraka ktk Chadema.

..Je, pendekezo hilo ni lina manufaa, au lina madhara kwa chama?

..Waliokaa muda mrefu ktk uongozi ndani ya Chadema sio Mbowe peke yake. Kwa hiyo hoja hii isionekane imemlenga Mbowe.

..Tundu Lissu aliyeibua hoja ya ukomo wa madaraka naye ataguswa na sheria hiyo kwa hiyo ikiwa itapitishwa.

..
 
..Na kama hufahamu Lissu ametetea manunuzi ya jengo la makao makuu ya Chadema.
 
..Na kama hufahamu Lissu ametetea manunuzi ya jengo la makao makuu ya Chadema.
Nilikua namjibu aliyekuwa anayepinga manunuzi ya Jengo.Na kwa sababu Lisu kaunga mkono huyo asiyefikiri kwa kichwa chake ataelewa sasa.
 
Nilikua namjibu aliyekuwa anayepinga manunuzi ya Jengo.Na kwa sababu Lisu kaunga mkono huyo asiyefikiri kwa kichwa chake ataelewa sasa.

..wanaweza kusema chama kilipaswa kujenga Dodoma kwa gharama nafuu.
 
Reactions: Tui
..wanaweza kusema chama kilipaswa kujenga Dodoma kwa gharama nafuu.
Kusema unaweza kusema lakini wenye kutoa maamuzi wakaamua usivyotaka wewe.Ni part ya free speech na demokrasia. Tatizo la wengi wanataka kutoa uamuzi bila kuwepo kwenye chombo kinachotoa uamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…