othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Wacha mbugi ipigwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaandika kama ni Mbowe aliyetoa ukomo wa Uongozi Chadema.Kwa katiba iliyopo Mbowe ana haki ya kugombea mpaka itapowekewa ukomo.Kumnyima haki hiyo ni kuisigina katiba iliyopo.
Kuna uoga wa nini?Kwani Mbowe akigombea ndio Lisu hawezi kuwa Mwenyekiti?
Uamuzi wa kuondoa ukomo ulifanywa na Mbowe peke yake?
Mnatetea demokrasia huku mnasigina uwepo wake uamuzi uliofikiwa ndio utakuwa valid mpaka ubadilishwe kwenye vikao.
Kuachiwa mnayemtaka ndio demokrasia mnayoiamini na sio Uchaguzi.
You cannot eat your cake and have it too.
Ruzuku huwa zinatumika kuendesha Chama unafikiri zinangojea Uchaguzi wa Mwenyekiti?Chama kimenunua Jengo la Makao Makuu ya Chama Mikocheni.Na ruzuku pia huwa zinakaguliwa na CAG.Unafikiri unapewa tu na unatumia unavyotaka.Asilete tu masharti na malalamiko achangie na nyie changieni kama ni rahisi ili Mkutano ufanyike tarehe 21.
Ni mentality ya kitoto kusema kifanyike hiki na kile bila kujua pesa kama zipo.
Nilikua namjibu aliyekuwa anayepinga manunuzi ya Jengo.Na kwa sababu Lisu kaunga mkono huyo asiyefikiri kwa kichwa chake ataelewa sasa...Na kama hufahamu Lissu ametetea manunuzi ya jengo la makao makuu ya Chadema.
Nilikua namjibu aliyekuwa anayepinga manunuzi ya Jengo.Na kwa sababu Lisu kaunga mkono huyo asiyefikiri kwa kichwa chake ataelewa sasa.
Kusema unaweza kusema lakini wenye kutoa maamuzi wakaamua usivyotaka wewe.Ni part ya free speech na demokrasia. Tatizo la wengi wanataka kutoa uamuzi bila kuwepo kwenye chombo kinachotoa uamuzi...wanaweza kusema chama kilipaswa kujenga Dodoma kwa gharama nafuu.
Nilikuonya jifunze kuweka akiba ya maneoTAL kupewa chadema ni ndoto!
Wekeni kumbu kumbu SAWA Leo ni tarehe 1.1.2025