Tundu Lissu azungumza na Wananchi na Wanachama wa CHADEMA - Januari 01, 2025

Tundu Lissu azungumza na Wananchi na Wanachama wa CHADEMA - Januari 01, 2025

..analalamikia nn mkuu?😂😂 Huyo ni mzee wa fact
Shida anazungumza kama yeye hajawahi kuwa sehemu ya uongozi wala kushiriki baadhi ya maamuzi. Ukiwa mgeni unaweza hisi ni mwanachama tu wa kawaida.

Hawa watu wajifunze kuachia madaraka wanapoona mambo mengi wasiyokubaliana nayo yanafanywa na viongozi wengine.

Hizi tamaa za kung’ang’ania ndicho kinamgharimu lissu.

Mfano wa kupinga maridhiano. Angeweza kukaa pembeni asiwe sehemu ya uongozi na mengine mengi tu.

Leo asingekuwa analalamika tu wajumbe wangesimama na yeye.
 
Wewe na maccm wenzako ndiyo watu wa hovyo unafikiri kumshambulia Lissu ndiyo mnamsaidia Sultan Mbowe kushinda ?
Unatakiwa useme nimemshambulia vipi achana na sweeping statements.

Nilichoandika uwezi kuacha ‘zimwi unalilojua’ na kwenda kubahatisha. Huo ndio uhalisia wa siasa, it takes time kuwaanda watu kushika nafasi.
 
Shida anazungumza kama yeye hajawahi kuwa sehemu ya uongozi wala kushiriki baadhi ya maamuzi. Ukiwa mgeni unaweza hisi ni mwanachama tu wa kawaida.

Hawa watu wajifunze kuachia madaraka wanapoona mambo mengi wasiyokubaliana nayo yanafanywa na viongozi wengine.

Hizi tamaa za kung’ang’ania ndicho kinamgharimu lissu.

Mfano wa kupinga maridhiano. Angeweza kukaa pembeni asiwe sehemu ya uongozi na mengine mengi tu.

Leo asingekuwa analalamika tu wajumbe wangesimama na yeye.
Mtu ambaye hadi kapigwa risasi,lakini kakomaa kupambana na anachoamini,aache chama kirahisirahisi,umeona wapi?
 
TAL kupewa chadema ni ndoto!
Wekeni kumbu kumbu SAWA Leo ni tarehe 1.1.2025
Sio kupewa sema kushinda sio rahisi. Kura zinapigwa.

Kwa udhalimu wa vyombo vya dola ni hatari sana Lissu kuwa mwenyekiti. Nafasi ya umakam bado ilimfaa sana kuamsha amsha na kuweka kashkashi.

Jamaa wanaweza mfanyia mbwai mbwai
 
Mtu ambaye hadi kapigwa risasi,lakini kakomaa kupambana na anachoamini,aache chama kirahisirahisi,umeona wapi?
Kapigwa na wadhalimu na hawataacha kumshughulikia.

Hii sio huruma, apambane na akubali vyovyote itavyokuwa.
 
CHADEMA bila lissu ni TLP iliyochangamka.
Tanzania bila lissu hakuna mabadiliko.
 
Lisu wawa zungu je yupi Mzalendo apo uyu katafuta bwana TZ Lisu katafuta Bwana mzungu baada ya kupata mazungu na pesa zipo sasa ulimbukeni wake anaanza kuwaponda mabwana wa tz kuwa awana pesa kama Abdur. Familia yake inaishi marekani kwa hisan y mzungu maisha swafi akipewa mipesa ya kutosha ili awe msaliti kwenye nchi yake uyu njaaa zaid afai,
Jenga hoja
 
Unatakiwa useme nimemshambulia vipi achana na sweeping statements.

Nilichoandika uwezi kuacha ‘zimwi unalilojua’ na kwenda kubahatisha. Huo ndio uhalisia wa siasa, it takes time kuwaanda watu kushika nafasi.
Ungemsikiliza na kumuelewa usingeleta hii hoja yako. Yeye amesema ubunge wa viti maalumu ulilenga kuwapatia uzoefu wakina mama ili wawezi kwenda kugombea majimboni na kipindi kimoja cha miaka mitano kinatosha kabisa kumjengea mwanamke uwezo huo na akatoa mfano wa kina Halima Mdee ambaye alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa kipindi kimoja tu baada ya hapo akaenda jimboni na kushinda tofauti na wengine waliofanywa wabunge wa viti maalumu wa kudumu hivyo kuwanyima wengine fursa hiyo.
 
Yaani wewe unaweza ignore veteran politician, kwa kuweka njuka bungeni.

Akili zake zinamtosha mwenyewe.

Mwanasiasa ajajingea ufuasi kwenye jamii umuweke bungeni, utoe mwenye influence kwenye jamii. Kisa katiba ya chama.

Akili zake zinamstosha mwenyewe, Lissu ni mwanaharakati sio mwanasiasa.
Mzee vipi? Lisu alikuchukulia mchepuko wako?
 
Back
Top Bottom