Uchaguzi 2020 Tundu Lissu baada ya Uchaguzi

Kwahiyo mkuu unadhani hatma yake baada ya uchaguzi ikoje?
Wewe Ngariba unaejiita Dr upo ? Lissu sio size yenu nyinyi mammalia wa CCM Huyo Jiwe wenu ameanza kutumia tools zake kama msajili wa vyama na Tume ya Uchaguzi na bado
 
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂😂😂😂 you’re so funny Mkuu. Lissu habari nyingine.

Mkuu habari za Msamvu , naona Lissu kapiga kiberiti kichaka panya wote wamekurupuka ! na bado mtajitokeza sana wazee kuokoa jahazi
 
Mkuu tubet, ukimuona Mnyika kwenye kampeni za Lissu najiondoa JF. Nina uhakika na ninachokwambia. Kwani Musiba kasemaje?..

Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu (wa pili kulia) na Mkewe (wa pili kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa Chama hicho Bara John Mnyika (wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar Salum Mwalimu (wa kwanza kushoto) wakiwa jukwaani wakicheza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho zilizofanyika katika viwanja vya Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam.

Lini: Leo Jumapili Sept 27
Mahali: Tarime Vijijini
Mhusika Mkuu: Mgombea Urais, Tundu LISSU
Kama woteeee.....kama kokoto!
*MUHIMU: Kokote ulipo hakikisha Oktoba 28, 2020 unapiga kura. Unachagua Tundu Lissu, unawachagua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA.
#ChaguaLissu
#ChaguaCHADEMA
#SasaBasi
#UchaguziMkuu2020



10 hrs ·
Public

26 Comments · Full Story
 
Mkuu habari za Msamvu , naona Lissu kapiga kiberiti kichaka panya wote wamekurupuka ! na bado mtajitokeza sana wazee kuokoa jahazi
Lissu kamwaga petrol kwenye shimo nyoka wote wanatoka
 
Endeleeni kuota
 
Hoja ya kufikirisha
 
Magufuli baada yakushindwa tuambie anaenda wapi shekh yahya naona umerudi
 

Hivi umejiuliza hatima ya jiwe baada ya uchaguzi?

Au wizi wa kura ndiyo mmetanguliza mbele?

Mtatatufuta sana cha kutusambaratisha - hakipo! Jiwe anasema kama ile fidia ya kibamba - keteho!
 
Hahahaha CCM bhana kipindi wanaongozana wote mlidai hawapo kimkakati. Walipoanza kuzunguka kivyao mfano Salim Mwalimu hamjapongeza ila bado mnadai wamemsusa?

Sasa hizi double standard ni Kwa faida ya nani?
Subirini Mwembeyanga tu mtaeleza yote.
 
Watajihusisha vipi na kampeni ya Lisu wakati nao wana kibarua cha kunusuru ubunge majimboni kwao!
 

Mnatamani iwe hivo ila haiwezekani,nye ni kama fisi anayemfuata binadamu usiku kwa nyuma akitegemea anavyotembea mkono utadondoka
 
Jiandaeni kuwaandaa mawakili wa kuwatetea The Hague. Kuna kila dalili wezenzetu kupeleka gereza the Guatemala.
The Hague mna nini cha kuwapa wazungu nyie...mkono mtupu haulambwi blaza mzungu hapokei povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…