Uchaguzi 2020 Tundu Lissu baada ya Uchaguzi

Msuguano uliopo na unao onekana wazi wazi ni Kati ya JK na JPM katika uchaguzi mkuu huu.
Jiwe anamuogopa JK bado anakumbuka hotuba ya Lupaso ya JK, poto la Mtanzania na uongo wao wa uchumi wa kati.JK mswahili atamlima tu.
 
This is Africa.......na kwa sasa kuna powershift hao wazungu watatoa povu tu basi maish yanaenda
Vijana wa BAVICHA wanashangaza kuamini kuwa kuna mtu anayewajali kuliko serikali yao halali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania!
 
Lissu one man show..Lissu Mnyika na Mbowe wanaongea kila siku
 
Mkuu habari za Msamvu , naona Lissu kapiga kiberiti kichaka panya wote wamekurupuka ! na bado mtajitokeza sana wazee kuokoa jahazi
Hta nyie namna hata asilimia 30 ya ushindi wenu sasa hao panaya watatoka kichakani kwa mfano wa moto usio unguza?
 
Mbona January na nape hawajihusishi kwenye kampeni za meko
 
Pamoja na hiyo "love" yangu, nakubaliana na wewe kuwa jambo atakalofanya Lissu ni hilo la kwanza.Ataondoka nchini mara tu baada ya kuzua ugomvi kati yake na Mbowe juu ya mapesa ya CHADEMA aliyotaifisha Mwenyekiti Mbowe kiasi cha kumpa shida Lissu kufanya au kushindwa kufanya kampeni kwa raha. Hiki ndio kitakuwa chanzo na sababu ya kumfanya Lissu kuikimbia nchi na kwenda Ubelgiji. Hili litatokea, kwani Lissu, kwa uongo wake akisaidiwa na Amsterdam, atadai kuwa Mbowe anataka kumdhuru; hivyo kukimbia nchi kwa kisingizio hicho.
 
Huyo Musiba naye unamtumia kama reference wewe ni mgeni hapa mjini?
Wenzio tunajua Musiba ni dishi limeyumba.
Mkuu tubet, ukimuona Mnyika kwenye kampeni za Lissu najiondoa JF. Nina uhakika na ninachokwambia. Kwani Musiba kasemaje?..
 
Ubishi ndio unawaponza
Hivi umejiuliza hatima ya jiwe baada ya uchaguzi?

Au wizi wa kura ndiyo mmetanguliza mbele?

Mtatatufuta sana cha kutusambaratisha - hakipo! Jiwe anasema kama ile fidia ya kibamba - keteho!
 
La pili hapo juu LIMETIMIA. Lissu kaondoka nchini - sasa sijui tuseme - KAONDOKA AU KAKIMBIA AU KASEPA AU KATUACHA SOLEMBA AU NINI SIJUI! Lakini kesha fika Ubelgiji na hatujui yeye na BOB wake wana mikakati gani juu ya hili lililompata la TOTAL TECHNICAL KNOCK OUT!?
 
I hope this time walaghaika watakuwa wamejifunza kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…