Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga kabla ya kuja jukwaan
Makamu amechalala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamu amechalala.
Sawa. Waache ccm watawale milele kama wanavyotaka.Nimesoma baadhi ya michango yako kwenye mada hii.
You're not serious!
Sina la zaidi ya hapo.
Naona hujanisoma mkuu 'Rasterman'; kwa maana hakuna kokote katika maandishi yangu kwenye mada hii hii niliposema haya unayonihitishimia hapa.Sawa. Waache ccm watawale milele kama wanavyotaka.
Ukigombea usipogombea wao ndio wataamua upate viti vingapi vyanubunge😅😅
Wewe ni mwana ccm mambo ya chadema achana nayo
Mwaka 2019 na 2020 Chadema ilishiriki.
Ilichoambulia ni watu kupiga marisasi, kuchomwa visu( mdogo wake Wenje na Heche). Kuvunjwa miguu na kufungwa.
Kuna watu mpaka walichomwa moto na mwisho wa siku chadema ikaambulia Zero.
Je unataka warudie hayo hayo?
Msiwe wa rahisi kusahau mambo ya juzi tu.
Yaani kukaa miaka mitatu tu tayari mmeshasahau? Ni uroho wa madaraka bila kujali athari??
Chadema inatambua hasara na maafa yaliyowakuta wanachama wake wakati wa uchaguzi walipojarbu kulinda haki za uchaguzi haiwezi ku- risk tena.
Chadema ikirudisha wanachama wake kwenye mazingira kama yale maana yake inajali madaraka tu haiangalii madhara wanayopata wafuasi wake.
That can be very radiculous.
Huo uchaguzi fanyeni wenyewe mshinde 100% lakini msiue mtu wala kuvunja mtu miguu
Bado huelewi kinachozungumziwa hapo kuhusu "kutoshiriki"Kuna ACT, NCCR, tadea, Cuf vyote ni vyama vya upinzan na bado vpo vingne km 12 zaidi nazan vitatosha kushiliki chama kimoja hakiwez zuia uchaguzi usifanyike
Bong'oa.Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga kabla ya kuja jukwaan
Ulimuona?magufuli alimuua BEN SANANE kwa mikono yake akiwa ikulu.
sasa yupo wapi?
Nashukuru mkuu , moja kosa ambalo nisingetamani upinzani walifanye ni kutoshiriki uchaguzi,Ninachowaambia CHADEMA ni lazima wawe wakweli kwa wananchi wakati wote ili kuaminiwa katika wanayoyasimamia, kuliko kuendelea kuvungavunga huku wakiiujua ukweli wenyewe ulivyo.
Katiba Mpya, ni muhimu sana, na inatakiwa waendelee kuishikia bango; lakini wakati huo huo kutokana na hali halisi ilivyo, hasa kutokana na ufinyu wa wakati, ni dhahiri wanajuwa katiba mpya haiwezi kuwepo kabla ya uchaguzi.
Kwa hiyo hili ni jambo linaloeleweka vizuri kwa wananchi.
Kinachotakiwa sasa wakitilie mkazo kabisa kabisa, ni kuhakikisha kwamba mazingira ya uchaguzi utakaokuja, ambao hata hivyo utafanyika chini ya katiba hiyo mbovu, ni lazima uwe wa HAKI, HURU na wa WAZI kabisa, ili matokeo yake yasiwe ya kutilia mashaka.
Hili linawezekana kabisa, na ndilo lililobaki kulifanyia mipango jinsi gani litatekelezwa.
Hii ndiyo kazi wanayotakiwa kuisimamia sasa hivi CHADEMA, kuliko kuendelea kutishia kutoshiriki uchaguzi kama hakuna katiba mpya.
Akina Mahera na wengine wote, kama hao wakurugenzi kusimamia uchaguzi, ni mambo yanayowezekana kuyarekebisha sasa hivi.
Hata huyo Rais, mwenye mamlaka yote dhidi ya Katiba iliyopo sasa, atatambua kwamba kufanya maamuzi yanayovuruga uchaguzi ni njia iliyo wazi kumwondoa madarakani kwa nguvu, kama siyo kumpeleka ICC kabisa.
Kwa hiyo hatakuwa na uthubutu wowote wa kuingilia maamuzi ya wananchi watakayofanya wenyewe kuhusu viongozi wanaotaka wawaongoze.
Hii ndiyo kazi inayowasubiri CHADEMA tangia sasa hadi baada ya uchaguzi 2025. Wasianze kutafuta visababu pembeni.
Speaking like Sabaya😅😅Sasa msijiite chama cha siasa kama mnashindwa hata kushiriki uchaguzi coz hayo mnayosema hayatakuja na hayatokuwepo,
Hakuna katiba mpya wala tume mpya ya uchunguzi never
So mjiandae Kwa miaka Mia ijayo bila kushiriki uchaguzi wowote
Chama chenu Kwa sasa hakina nguvu ya kushinikiza anything Kwa serikali
Hamna nguvu yoyote
Ninaamini hakuna mwenye uthubutu wa kususia uchaguzi huko CHADEMA..., ila wanatumia maneno hayo kwa maana tofauti kabisa.Nashukuru mkuu , moja kosa ambalo nisingetamani upinzani walifanye ni kutoshiriki uchaguzi,
Hilo ni kosa ambalo ccm inatamani sana upinzani walifanye kwa sababu litalogharimu upinzani kwa miaka mingi ijayo,
Huku wabunge na madiwani WA CCM wakiwa na uhakika wa kubaki nafasi zao kwa asilimia 100
Kitu kibaya wametoa msimamo wao mapema so Ccm italazimishaitalazimisha wafanye hayo makosa
Kikosi Cha prof. Mkandala kipi tena anachokisemea makamu Mwenyekiti wakati kazi yake iliisha na mapendekezo yakatolewa?
Acha wasuse tu kuna CHAUMA , na vinginevyo hivyo vikishiriki vinatosha kabisa kuelezea demokrasia. Wakisusa hawarudi tena mchezoni.
Makamu aangaliwe napata wasiwasi naye
Bong'oa.
Speaking like Sabaya😅😅
Bong'oa.Ww nguchiro hujawah na hutowah kuwa na akili
Shida yenu mnafikiri chama pinzani ni chadema Kuna vyama zaidi ya kumi vitashiriki na uchaguzi utafanyika Kwa amani na utulivu .Labda kwa taarifa yako na mamluki wengine ni kwamba , bila Katiba mpya hakutakuwa na uchaguzi .
Hifadhi hili andiko
Tatizo wazungu!Shida yenu mnafikiri chama pinzani ni chadema Kuna vyama zaidi ya kumi vitashiriki na uchaguzi utafanyika Kwa amani na utulivu .