Pre GE2025 Tundu Lissu: Bila Katiba Mpya, Bila Tume Huru ya Uchaguzi CHADEMA haitashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kati ya kosa ambalo Chadema itakosea ni kutoshiriki Uchaguzi.
Uhalisia ni kuwa hakuna muda wa kupata hiyo katiba mpya kwa sasa na huo ndio ukweli wenyewe.

Ili wapate katiba nzuri inabidi wawe na wawakilishi bungeni, nje ya hapo ni kupoteza.
Watakiwa upigane ukiwa ndani
 
Wakianza kulegea hivi, ujue baada ya muda wakishazoeleka hata hicho kidogo wanachotaka nacho watanyimwa, bora msimamo ubaki huo huo bila hofu ya muda kupotea.
Sawa.

Wabaki 'ngangari' hivyo hivyo kwa kudai Katiba Mpya, pamoja na kwamba hata wao wanajuwa muda uliobaki hautoshi, ila sasa ni lazima kabisa kukazia kwenye Uchaguzi huru na wa haki; na waondokane na hiyo ya kusema "CHADEMA haitashiriki uchaguzi".

Hili la kutoshiriki uchaguzi haliwastui kabisa CCM, na kiukweli wanalitaka sana hilo.

Ni heri CHADEMA waweke wazi na kutia mkazo: Kwamba "HAPATAKUWEPO NA UCHAGUZI."

Hapo CCM wataanza kuwasikiliza kwa makini sana.
 
Labda kwa taarifa yako na mamluki wengine ni kwamba , bila Katiba mpya hakutakuwa na uchaguzi .

Hifadhi hili andiko
Wananchi tutahakikisha Haufanyiki.

Kama CDM itaandikisha watu angalau lak 3 Dar pekee,

Wakitoka kudai Tume huru, uchaguzi utayeyuka kama kilivyoyeyuka kikosi KAZI Cha Prof Mukandala.
 
Sawa.

Wabaki 'ngangari' hivyo hivyo kwa kudai Katiba Mpya, pamoja na kwamba hata wao wanajuwa muda uliobaki hautoshi, ila sasa ni lazima kabisa kukazia kwenye Uchaguzi huru na wa haki; na waondokane na hiyo ya kusema "CHADEMA haitashiriki uchaguzi".

Hili la kutoshiriki uchaguzi haliwastui kabisa CCM, na kiukweli wanalitaka sana hilo.

Ni heri CHADEMA waweke wazi na kutia mkazo: Kwamba "HAPATAKUWEPO NA UCHAGUZI."

Hapo CCM wataanza kuwasikiliza kwa makini sana.
Na ndicho alichosema Lissu.

Watasimamisha wagombea Nchi nzima bt watahakikisha Tume Huru ndo itasimamia uchaguzi huo.
 
Sawa.

Wabaki 'ngangari' hivyo hivyo kwa kudai Katiba Mpya, pamoja na kwamba hata wao wanajuwa muda uliobaki hautoshi, ila sasa ni lazima kabisa kukazia kwenye Uchaguzi huru na wa haki; na waondokane na hiyo ya kusema "CHADEMA haitashiriki uchaguzi".

Hili la kutoshiriki uchaguzi haliwastui kabisa CCM, na kiukweli wanalitaka sana hilo.

Ni heri CHADEMA waweke wazi na kutia mkazo: Kwamba "HAPATAKUWEPO NA UCHAGUZI."

Hapo CCM wataanza kuwasikiliza kwa makini sana.
Ok, nimekupata, kumbe sio "hawatashiriki", bali iwe "hapatakuwepo" na uchaguzi.

Hapo sasa sijui ni njia gani watakayotumia kufanikisha hilo, kwangu naona yote mawili [kutoshiriki na hapatakuwepo na uchaguzi] CCM watayapangua kwa urahisi sana, tena kwa njia moja pekee.

Watawatumia kina TLP na wenzao, kusema wanataka uchaguzi, hivyo ufanyike, pia, kina TLP hao hao, watatumiwa na CCM pale Chadema itakapogoma kushiriki uchaguzi, sasa sijui Chadema watakuja na njia ipi kudhibiti hili?!
 
Maandamano ya AMANI.

Nguvu ya UMMA.

CDM imedhamiria kuandikisha watu lak 5 Kwa ajili ya kushinikiza Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya ikiwa CCM watakataa.

Mikoani pia watatoka kushiriki.
 
Lakini inalazimu kuuliza swali: hiyo "Katiba Mpya" itaota kama uyoga?

Mi nadhani ni wakati mwafaka sasa wa kuwa wakweli, na kuweka mkazo katika mambo yanayowezekana kufanyika kwa wakati uliosalia, ili uchaguzi uonekane kuwa wa "Haki na Huru", kuliko kuendelea kuweka matumaini katika jambo ambalo uwezekano wake unaelekea ukingoni, kutokana na muda uliosalia.

Samia kishafanikiwa katika hili la Katiba Mpya,( kwa kuchelewesha wakati) sasa mzozeni juu ya uchaguzi wa wazi na ulio huru kabisa.
Hakutakuwa na Uchaguzi huru na wa haki ikiwa Mahera anakuwa Msimamizi wa Uchaguzi au Wakurugenzi wa Halmashauri wanaendelea kuwa wasimamizi wa Uchaguzi , haya yote yatawekewa utaratibu ndani ya Katiba mpya, wala hatujachelewa , rasimu ya Warioba kama ikifanyiwa marekebisho bado ni mwongozo wa kutukuka .

Hatuwezi kurekebisha tume ya uchaguzi peke yake huku ukimrundikia Rais uwezo wa kiMungu wa kuteua awatakao ili wasimamie uchaguzi wa haki .

Tunataka Mchakato wa Katiba mpya uanze wiki ijayo ili mambo ya kuongezeana kura zaidi ya elfu 11 kwa kila mbunge kama alivyofanya Magufuli kwa kushirikiana na Dr Mahera yakomeshwe mara moja
 
Labda kwa taarifa yako na mamluki wengine ni kwamba , bila Katiba mpya hakutakuwa na uchaguzi .

Hifadhi hili andiko
Kivipi? Kuna mikakati gani imewekwa ya kuzuia huo uchaguzi? Endeleeni kucheza ngoma ya ccm
 
Hakutakuwa na Uchaguzi huru na wa haki ikiwa Mahera anakuwa Msimamizi wa Uchaguzi au Wakurugenzi wa Halmashauri wanaendelea kuwa wasimamizi wa Uchaguzi , haya yote yatawekewa utaratibu ndani ya Katiba mpya, wala hatujachelewa , rasimu ya Warioba kama ikifanyiwa marekebisho bado ni mwongozo wa kutukuka .

Hatuwezi kurekebisha tume ya uchaguzi peke yake huku ukimrundikia Rais uwezo wa kiMungu wa kuteua awatakao ili wasimamie uchaguzi wa haki .

Tunataka Mchakato wa Katiba mpya uanze wiki ijayo ili mambo ya kuongezeana kura zaidi ya elfu 11 kwa kila mbunge kama alivyofanya Magufuli kwa kushirikiana na Dr Mahera yakomeshwe mara moja
Mkuu 'Erythrocyte', unauelewa barabara msimamo wangu kuhusu Katiba Mpya na mambo mengine yote, kwa sababu wewe na mimi tumetoka mbali kwa pamoja.

Kwa hiyo, najuwa ninaposema kitu humu, huna mashaka yoyote juu ya msimamo wangu tokea mwanzo hadi sasa. Mimi siyo mtu ninayeyumba tu, bila ya sababu maalum, tena sababu yenyewe ihusike na maslahi ya nchi.

Sasa, kuhusu hili la Katiba Mpya, usidhani kuna chochote kilichobadilika katika msimamo wangu, ila, kutokana na sababu na mtego aliowawekea CHADEMA, kuhusu "maridhiano", Samia kishafanikiwa sana kuiondoa hiyo ajenda ya Katiba Mpya kuwa ni namba moja kaboisa, kwa sababu muda wa kutengeneza Katiba kabla ya uchaguzi mkuu, muda huo haupo, kama hapatakuwepo na kusogeza uchaguzi mbele. This is a fact, mtake au msitake.

Huwezi kwenda haraka haraka sasa hivi na kuchukua Rasmu ya Warioba na kutengeneza Katiba Mpya, na bado pakawepo na muda wa kujiandaa na uchaguzi. Hii kazi ya kuandika katiba haiwezi kufanywa iwe ya dharura.

Kwa hiyo, kwa maana hiyo sasa, CHADEMA inawapasa kutafuta njia za kuhakikisha mambo yote yanayoharibu uchaguzi yanatafutiwa njia za kuhakikisha kuwa uchafuzi huo hautokei wakati wa uchaguzi.
Na kama CCM wanang'ang'ania kuendelea na njia hizo, basi, hapo CHADEMA itawalazimu kutangaza wazi kwamba HAWATASHIRIKI kwenye uchaguzi huo, na muhimu zaidi, kwamba huo UHAGUZI HAUTAFANYIKA.

Huu ndio mstari ambao CHADEMA inahitaji kuujengea hoja wakati huu, pasiwepo tena na sintofahamu toka sehemu nyingine yoyote.
 
Ok, nimekupata, kumbe sio "hawatashiriki", bali iwe "hapatakuwepo" na uchaguzi.

Hapo sasa sijui ni njia gani watakayotumia kufanikisha hilo, kwangu naona yote mawili [kutoshiriki na hapatakuwepo na uchaguzi] CCM watayapangua kwa urahisi sana, tena kwa njia moja pekee.

Watawatumia kina TLP na wenzao, kusema wanataka uchaguzi, hivyo ufanyike, pia, kina TLP hao hao, watatumiwa na CCM pale Chadema itakapogoma kushiriki uchaguzi, sasa sijui Chadema watakuja na njia ipi kudhibiti hili?!
Mkuu 'denoo', heshima.

Ni mtu mgeni tu anayeingia Tanzania leo ndiye anayeweza kutojua faulo wanazozifanya CCM katika chaguzi zote zinazofanyika nchini.

Ni kwamba CCM wanaharibu chaguzi kwa maksudi ya kuendelea kuwepo madarakani.

Wanavunja sheria za nchi, kwa vile tu wao ndio waliopo madarakani.

Sasa CHADEMA wanatakiwa wawajibu hivyo hivyo wanavyofanya CCM, kutoheshimu sheria za nchi kama CCM hawako tayari kuacha tabia hiyo.

Kwa hiyo, maana ya "kutokuwepo uchaguzi", ni kwamba CHADEMA watazuia uchaguzi huo usifanyike, hata kama akina TLP wapo tayari kushiriki.

Sasa naona maswali yako pengine yataendelea, ukitaka nieleze wanachoweza kufanya CHADEMA kuzuia uchaguzi usifanyike.

Najua unao upeo wa kutosha kujaribu kuchangia katika hilo.
 
Mkuu 'Erythrocyte', unauelewa barabara msimamo wangu kuhusu Katiba Mpya na mambo mengine yote, kwa sababu wewe na mimi tumetoka mbali kwa pamoja.

Kwa hiyo, najuwa ninaposema kitu humu, huna mashaka yoyote juu ya msimamo wangu tokea mwanzo hadi sasa. Mimi siyo mtu ninayeyumba tu, bila ya sababu maalum, tena sababu yenyewe ihusike na maslahi ya nchi.

Sasa, kuhusu hili la Katiba Mpya, usidhani kuna chochote kilichobadilika katika msimamo wangu, ila, kutokana na sababu na mtego aliowawekea CHADEMA, kuhusu "maridhiano", Samia kishafanikiwa sana kuiondoa hiyo ajenda ya Katiba Mpya kuwa ni namba moja kaboisa, kwa sababu muda wa kutengeneza Katiba kabla ya uchaguzi mkuu, muda huo haupo, kama hapatakuwepo na kusogeza uchaguzi mbele. This is a fact, mtake au msitake.

Huwezi kwenda haraka haraka sasa hivi na kuchukua Rasmu ya Warioba na kutengeneza Katiba Mpya, na bado pakawepo na muda wa kujiandaa na uchaguzi. Hii kazi ya kuandika katiba haiwezi kufanywa iwe ya dharura.

Kwa hiyo, kwa maana hiyo sasa, CHADEMA inawapasa kutafuta njia za kuhakikisha mambo yote yanayoharibu uchaguzi yanatafutiwa njia za kuhakikisha kuwa uchafuzi huo hautokei wakati wa uchaguzi.
Na kama CCM wanang'ang'ania kuendelea na njia hizo, basi, hapo CHADEMA itawalazimu kutangaza wazi kwamba HAWATASHIRIKI kwenye uchaguzi huo, na muhimu zaidi, kwamba huo UHAGUZI HAUTAFANYIKA.

Huu ndio mstari ambao CHADEMA inahitaji kuujengea hoja wakati huu, pasiwepo tena na sintofahamu toka sehemu nyingine yoyote.
Nashukuru mkuu kwa kuliona Hilo la upatinanaji wa katiba Kwa sasa mpaka 2025 ni ngumu,
Linahitaji mchakato mrefu kidogo,
Tukumbuke mwakani uchaguzi serikali za mitaa then 2025 ni uchaguzi mkuu,
So maybe lifanyike mwaka huu huu lipitishwe kwanza kwenye bunge la bajeti then mchakato uanze,
Kitu ambacho Bado ni ngumu
 
Kati ya kosa ambalo Chadema itakosea ni kutoshiriki Uchaguzi.
Uhalisia ni kuwa hakuna muda wa kupata hiyo katiba mpya kwa sasa na huo ndio ukweli wenyewe.

Ili wapate katiba nzuri inabidi wawe na wawakilishi bungeni, nje ya hapo ni kupoteza.
Watakiwa upigane ukiwa ndani
CCM imeshaonja raha ya kushinda kwa wizi kwa msaada wa katiba hii mbovu na tume hii feki uya uchafuzi. Chadema ikikubali kushiriki kwa katiba hiihii na tume hiihii ya uchaguzi wajiandae kufanyiwa kitu mbaya kama ilivyofanyiwa mwaka 2019 na 2020
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Antipas Lissu amesema yeye kugombea Urais wa JMT ni hadi ipatikane Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.

Kimsingi CHADEMA tutaonekana Watu wa ajabu sana kama tutashiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 kwa Katiba hii na Tume hii ya Uchaguzi amesema Lissu.

Lissu amesema CHADEMA ndio Chama pekee cha Upinzani nchini ndio sababu walipokataa kujumuishwa Kwenye Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla na Kikosi chenyewe kikafa ganzi hapo hapo na hakisikiki tena popote.

Chanzo: ITV
Utopolo. Kenya na Afrika ya Kusini waliandika katiba mpya na bado wanalia. Dawa ya kila kitu ni kuwajibika na kuwajibishwa kwa watawala na watawaliwa. Period.
 
Back
Top Bottom