Pre GE2025 Tundu Lissu: Bila Katiba Mpya, Bila Tume Huru ya Uchaguzi CHADEMA haitashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimesoma baadhi ya michango yako kwenye mada hii.

You're not serious!

Sina la zaidi ya hapo.
Sawa. Waache ccm watawale milele kama wanavyotaka.

Ukigombea usipogombea wao ndio wataamua upate viti vingapi vyanubunge😅😅
 
Kuna ACT, NCCR, tadea, Cuf vyote ni vyama vya upinzan na bado vpo vingne km 12 zaidi nazan vitatosha kushiliki chama kimoja hakiwez zuia uchaguzi usifanyike
 
Sawa. Waache ccm watawale milele kama wanavyotaka.

Ukigombea usipogombea wao ndio wataamua upate viti vingapi vyanubunge😅😅
Naona hujanisoma mkuu 'Rasterman'; kwa maana hakuna kokote katika maandishi yangu kwenye mada hii hii niliposema haya unayonihitishimia hapa.

In fact, ni kinyume chake kabisa!
Naomba uwe 'fair' katika hitimisho lako. Hujanitendea haki hata kidogo.
 

Sasa msijiite chama cha siasa kama mnashindwa hata kushiriki uchaguzi coz hayo mnayosema hayatakuja na hayatokuwepo,

Hakuna katiba mpya wala tume mpya ya uchunguzi never

So mjiandae Kwa miaka Mia ijayo bila kushiriki uchaguzi wowote

Chama chenu Kwa sasa hakina nguvu ya kushinikiza anything Kwa serikali

Hamna nguvu yoyote
 
Kuna ACT, NCCR, tadea, Cuf vyote ni vyama vya upinzan na bado vpo vingne km 12 zaidi nazan vitatosha kushiliki chama kimoja hakiwez zuia uchaguzi usifanyike
Bado huelewi kinachozungumziwa hapo kuhusu "kutoshiriki"
 
Nashukuru mkuu , moja kosa ambalo nisingetamani upinzani walifanye ni kutoshiriki uchaguzi,
Hilo ni kosa ambalo ccm inatamani sana upinzani walifanye kwa sababu litalogharimu upinzani kwa miaka mingi ijayo,
Huku wabunge na madiwani WA CCM wakiwa na uhakika wa kubaki nafasi zao kwa asilimia 100
Kitu kibaya wametoa msimamo wao mapema so Ccm italazimishaitalazimisha wafanye hayo makosa
 
Speaking like Sabaya😅😅
 
Ninaamini hakuna mwenye uthubutu wa kususia uchaguzi huko CHADEMA..., ila wanatumia maneno hayo kwa maana tofauti kabisa.
 

Dash siasa hizi😂😂😂
 
Labda kwa taarifa yako na mamluki wengine ni kwamba , bila Katiba mpya hakutakuwa na uchaguzi .

Hifadhi hili andiko
Shida yenu mnafikiri chama pinzani ni chadema Kuna vyama zaidi ya kumi vitashiriki na uchaguzi utafanyika Kwa amani na utulivu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…