Huyu nafsi inamsuta. Ni MATAGA waliokuwa wanamshambulia Lissu wakati wa kampeni. Sasa amejiona tu fala.Hapo kwa huo ushauri kuna tatizo we kidampa?
Lisu ni msanii kasoma masomo ya sanaa yaani Arts HGL na ana digrii ya arts ya sheria ni msanii completeUbunifu kwani huyu ni Msanii ?
Hivi we jamaa huwa una akili timamu?Lisu ni msanii kasoma masomo ya sanaa yaani Arts HGL na ana digrii ya arts ya sheria ni msanii complete
Haya mambo aliyasema kwenye campaign zake . Sema hukutaka kumuelewa . After all ushauri mbaya huo kweli ?!Lisu ni msanii kasoma masomo ya sanaa yaani Arts HGL na ana digrii ya arts ya sheria ni msanii complete
Lissu huwa anawatoa mapangoni, halafu mama kaambiwa ili misaada ifunguliwe aachane na siasa za mwendazakeIla hayuko original ni mvizia matukio ndio adakie ubunifu zero ! Mtu aseme ndio kwa mbali akili zinakuja!!!
Sio kwelimlipa Kodi hata akiambiwa alipe buku Bado ni shida
Sawa kabisa. Wengi hawajamuelewa Lissu.Sio kweli
HAKI za Mlipakodi ili aepuke Wrath ya Wanasiasa uchwaraSawa kabisa. Wengi hawajamuelewa Lissu.
Jamaa kichwa chako unakitumia kufugia mba tu,badili matumizi.Tundu lissu akisema simba ikienda kucheza na al ahly asicheze mkude bali nafasi yake acheze mzamiru kuna watu watasema huyu jamaa ni bonge la genius...
Hatari sana.
Ni ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
View attachment 1745100
Naona kila post unapost hikihiki Kama roboti, Ila kinachokuuma ni kuona mama anafanya vizuri kwa hiyo roho inauma kuwa kwa Nini mama anaelekea kufanikiwa na legacy ya Jiwe inafutika, na Magu ni rais mbovu kuliko wote waliopita.
Platinum memnber hujui hata taxpayer bill of rights? Shame on U.na haki ya mlipwaji kodi sio?
kuwa mtu anakwepa kwa makusudi kulipa kodi iwekwe adhabu sio??
Na wewe makalioWewe mkia
Huyo ni hao Sukuma Gang,wamechanyikiwa mbaya.Hapo kwa huo ushauri kuna tatizo we kidampa?
Na wewe umesomea kulamba watawala makalioLisu ni msanii kasoma masomo ya sanaa yaani Arts HGL na ana digrii ya arts ya sheria ni msanii complete
Wewe umesomea nini cha kuja kuandika utumbo humu ndani. Mungu wenu ameshakufa sasa rudini mkamuabudu Mungu wa kweli, msiwaze sanamu tena.Lisu ni msanii kasoma masomo ya sanaa yaani Arts HGL na ana digrii ya arts ya sheria ni msanii complete