Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

hewala mzee; mimi ni mwalimu na muongeaji mzuri sana lakini najua kuwa kuwa raisi haihitaji sifa ya uongeaji bali kichohitajiwa ni vision, decisiveness na fairness. Mtu asiyekuwa na vision kuwa anataka kuipeleka wapi nchi na hayuko decisive kwa maana ya kuwa misimamao yake inaweza kubadilika wakati wowte na vile vile ana visasi moyoni siyo wa kumpa command ya nchi.
 

Hilo la Lisu kupata ulemavu wala huna haja ya kulikiri hapa japo liko wazi sana. Unasema unamfahamu Lisu na ni mtu wa kawaida sana, hebu nitajie hata watu wawili ambao sio wa kawaida sana ili nipate vizuri mantiki yako.

Unasema Lisu sio mwanasiasa bali ni mwanaharakati, huwa nashindwa kuelewa hii dhana, na mara nyingi huwa inatumika na wanaccm dhidi ya wapinzani wenye misimamo mikali. Mfano wa dhana hii niliiona sana wakati Dr. Slaa akiwa cdm, na Mtikila RIP. Baada ya Dr. Slaa kuondoka cdm na kutoisimbua ccm, huwa anavishwa kilemba cha ukoka kuwa alikuwa mwanasiasa wa ukweli! Huwa nina msikia Magufuli akisema yeye sio mwanasiasa, lakini yuko kwenye siasa zaidi ya miaka 25! Ili twende pamoja nitofautishie mwanaharakati na mwanasiasa, ili nielewe usemacho isijekuwa unatumia neno hilo kama bendera fuata upepo.

Lisu ataendelea kuwa mwanaharakati baada ya 28 October. Kwani baada ya tarehe hiyo ndio itakuwa mwisho wa siasa za nchi hii, mpaka yeye awe wa kawaida? Atajifunza namna ya kufanya siasa akiwa cdm, je hiyo namna ya kufanya siasa ndio hiyo itakayowafurahisha ccm?
 
Nafikiri ukisoma hapo chini jinsi JokaKuu alivyokujibu utajua kati ya mimi na wewe nani mjinga. Napata mashaka sana kama kweli kazi yako ni kufundisha.

View attachment 1569201
Soma tena thread hiyo hapo chini

Wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye hasira sana kwa sasa

Hakuna niliposema Magufuli na Lissu wanaongea kiingereza sawa, ila nilisema kuwa wote kiingereza chao ni substandard. Iwapo huwezi kuona mapungufu ya kiingereza cha Lissu hayo ni matatizo mengine yako kabisa.

Mara nyingi watu wajinga au wapumbavu ni wepesi sana wa kunyoosha vidole kwa wenzao kuwa ndio wajinga! Hiyo inajulikana kabisa kawenye psychology. ndiyo maana ya msemo wa " Never argue with a fool"

 
Lissu amezoea kutukana wenzake matusi. Magufuli yupo juu sana kumlinganisha na lissu. Yeye apambane kivyake sio kutaka umaarufu kupitia rais.
 
Kuyatetea kwa nani? Kama mtu anasema kweli anakubali makubwa yamefanyika,ila anataka aone mkataba wa mikopo ya pesa ambazo serikali inakopa. Kwani yeye ni mbunge!
Hahaha mbunge gani amewahi kuona mikataba ya Magufuli?!

Ukiwa mwizi basi pia uwe mjanja kidogo, angalau usumbue akili za wenye akili,sasa unaiba halafu mjinga, atakamatwa kirahisi sana.

Aonyeshe kwanani, kwani nchi mali yake hii?!
 
CHADEMA WEKENI MABANGO YA PICHA YA TUNDU ANTIPAS LISU KILA KONA YA TANZANIA(MIJINI MPAKA VIJIJINI) ILI WAPIGA KURA WAMJUE KWA SURA(Jina linajulikana hadi na Watoto wadogo)
 

You wrote, "kati yao hakuna bingwa". You clearly tried to imply that Lissu and Magufuli are in the same category. Lissu's command of English might not be perfect but it's far superior comparing to Magufuli's

By the way, don't give me this lecturing bullshit with these quotes. Take them back and shove in your @$$.

 
Unazidi kuonyesha ujinga wako unaposhindwa kuelewa maana ya kusema kati yao hakuna bingwa; watoa lugha za matusi na kelele nyingi huwa ni watu wenye akili ndogo sana
 
Unazidi kuonyesha ujinga wako unaposhindwa kuelewa maana ya kusema kati yao hakuba bingwa; watoa lugha za matusi na kelele nyingi huwa ni watu wenye akili ndogo sana
View attachment 1569216

You deserve every vulgar word I said to you, no sympathy. Your weak argument also shows that I've got more brains than you.
 
soma tena quote uliyoleta kutoka kwenye simu yako.

Ulisoma hii?

View attachment 1569222

I don't know what the hell you're trying to defend. When you say "kati yao hakuna bingwa" it means there's no winner, in other words both parties are equal. I don't agree with that when you make comparison between Lissu and Magufuli.
 
Anatapatapa sasa ameshindwa kuwa win watz! Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu! Hatuko kwenye mashindano ya mdahalo!
kwani alichoongea hujamuelewa au. Hoja zote alizotoa hujaelewa basi hutakuja kuelewa.
 

Kwenye mdahalo ataeleza vizuri hayo mafanikio yake. Kwenye mikutano ya kampeni ni mahubiri zaidi bila kutoa ufafanuzi wowote. Kwenye mdahalo hakuna ujanja ujanja. Na Lisu ni mjanja anataka ujanja ujanja ukae wazi.
 
Huyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao

Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
Tundu Lissu na Magufuli nani aliyekulia kijijini ?? Anaongea kama unaharisha.
 
Kuyatetea kwa nani? Kama mtu anasema kweli anakubali makubwa yamefanyika,ila anataka aone mkataba wa mikopo ya pesa ambazo serikali inakopa. Kwani yeye ni mbunge!

Tutajie mbunge aliyeona mikataba ya mikopo ya hizo pesa.
 
Wewe Level yako ni Msigwa huna hadhi ya kuwa karibu na JPM, Cz tumeelewa Sera yako ni kulalamika na kusanganya. Tafuta Sera tuielewe, tuone mwelekeo wako kama unareflect Malengo ya Taifa la Tanzania la sasa na baadae, na Siyo Sera yako ya Pambio kutwa kuwatukuza Mabeberu mpaka kwasasa kila unachoongea tunakiwekea ... ? .
JPM ni President Material na kila Taifa Duniani kote Wanatamani Wampate wapi kama yeye, so endelea kupiga ngonjera ambazo hata Chadema wenyewe hawazioni kwao.
Mfano:
1. Demokrasia- Katiba ya Chadema ilibadilishwa ghafla ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati katiba aliyoiapia awali ilikuwa anatakiwa awaachie wengine.
2. Kuwaita wasaliti wale wote wenye mawazo ya kugombea uenyekiti hata Lissu Mwenyewe yalimkuta na kutandikwa kisawasawa na kikosi cha Mwenyekiti 😂😂😂😂.
3. Kuwalazimisha Wabunge kukatwa Mishahara yao, lakini wakihoji matumizi wanaitwa wasaliti na kufukuzwa uanachama.
Yapo Mengi ambayo hayafai ndani ya Chadema na alitakikwa kama Mwanasheria wayaishi ili iwe rahisi kueleweka kwa Wapiga kura lakini kwasasa wanaonekana wanafanya maigizo.
Angalieni Serikali ya awamu ya 5 ni kwenye lipi imefanya maigizo zaidi ya nyie kwenda kwa Mabeberu kuwaeleza mbinu ya kuikwamisha Serikali ya awamu ya 5 ishindwe kutekeleza Mipango waliyoiahidi kwa Wananchi. Mungu Jaria amefanikiwa kwa zaidi ya asilimia 90% na zaidi ya asilimia 100% ya malengo ya kiwango cha uchumi wa Kitaifa- kimataifa .
4. Kutowaamini Wengine kama wanaweza kuwa wenyeviti. Huu ni upuuzi wanaouishi Chadema wanaojiita wanademokrasia. Kwani Mbowe hana Mbadala. 😎😎😎😎😎😎.

Kuna Vitu anavinadi Lissu kiukweli tunashangilia kwa kucheeeeka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Midahalo imekuwa ikiombwa tangu 1995 na haijaweza kutokea.

Tuweke rekodi sahihi 1995 Mkapa alitokea kwenye mwalimu akiwa hai. Bahati yao JK ba jiwe.

Nyerere (rip) angembebea bango mgombea yeyote mkataa mdahalo.

Kimsingi si JK wala jiwe wangefanya makazi ikulu ya magogoni!

Nyerere alikuwa mtu wa hoja si viroja.
 
Kwa iyo magufuli ana vision gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…