Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

Uzi una malengo ya uchonganishi,unafiki,uzandiki,kupima upepo na upashkuna.Leo hii unamsifu Lissu?Nini kimetokea?Umepatwa na degedege?
 
Uzi una malengo ya uchonganishi,unafiki,uzandiki,kupima upepo na upashkuna.Leo hii unamsifu Lissu?Nini kimetokea?Umepatwa na degedege?
Wewe pimbi usiejua kusoma na kuandika kuna mahala nimemsifu Lissu.
?
 
Raia mwema

You must be really desperate. Leo unamtambua Tundu Lissu kama mtu wa maana? Halafu unajaribu kumtenga na CHADEMA? Won’t happen. Lissu hawezi ku co-exist na uongo na uozo wa Lumumba.

Endelea kushikamana na wenzio huko Lumumba katika msimamo wa mwendazake kuwa Lissu ni msaliti; hastahili kuishi. Hiyo historia ya Lissu wa Bulyanhulu wenzio hawaijui na hawataki kuijua. Inaondoa utukufu wa mwendazake.
 
Hoja ni nama Lissu alivyoruin maisha yake baada ya kujoin Chadema.
 
Ninyi ndio watu msio na akili. Mtu yeyote anayejifikiria yeye, tumbo lake na familia yake kama wewe Mwandishi, namdai!
 
Godwin Mollel huyu huyu wa Covid za mapapai, na mashine za kujifukiza Muhimbili?
Na mwenzie Gwajima?
 
Upuuzi kiwango ya Lami.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Dah!!huruma sana.
mwenzie kapewa fungu na mama kama kifuta machozi kwa kukaa ndani kesi ya ugaidi,yeye Chiba hata mafao yake tu ya Ubunge hajapewa.
 
Haha, mjinga anamwusia mwerevu😀🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…