Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana.

Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana.

Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia kupigania haki zao. Hawa ni wananchi waliofukiwa na serikali ili kupisha muwekezaji aweke mgodi pale Bulyanhulu.

Ulikuwa umejikita kwenye ishu za kutetea haki za binadamu na ulifanya kazi kwa weledi.

Ulipoingia kwenye siasa na kujiunga Chadema hapo ndipo ulianza kuharibu mambo yako.

Ni kwa sababu hukujua kuwa Chadema imejaa wanafiki na masnitch na hawa ndio waliokuuza na mpaka sasa umepata ulemavu wa kudumu. Chadema sio watu wema. Muulize Dk Godwin Mollel.
Kwa hiyo afanye nini? Umeiachia hoja yako njiani, ina hang.....
 
Hoja ni nama Lissu alivyoruin maisha yake baada ya kujoin Chadema.
Maisha ya Lissu hayajaharibika. Hana dhiki. Taaluma yake ni ya uhakika na anaitumia kwa ufanisi mkubwa kitaifa na kimataifa. Anaishi katika maadili yake kwa kadiri dhamiri yake inavyomuongoza. Hategemei fadhila za wanasiasa. He’s incorruptible. What else defines success?
 
Back
Top Bottom