Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

Kwa hiyo afanye nini? Umeiachia hoja yako njiani, ina hang.....
 
Hoja ni nama Lissu alivyoruin maisha yake baada ya kujoin Chadema.
Maisha ya Lissu hayajaharibika. Hana dhiki. Taaluma yake ni ya uhakika na anaitumia kwa ufanisi mkubwa kitaifa na kimataifa. Anaishi katika maadili yake kwa kadiri dhamiri yake inavyomuongoza. Hategemei fadhila za wanasiasa. He’s incorruptible. What else defines success?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…