Na tutampa kura za kutosha.Napenda apewe ili atofautishe theory and practical on knowing things!!
Mambo mengi anayoyaongea sivyo yalivyo apewe akajionee
Mjinga huyu.Napenda apewe ili atofautishe theory and practical on knowing things!!
Mambo mengi anayoyaongea sivyo yalivyo apewe akajionee
penye siri itawekwa siri ila mnataka hadi uwongo uwe siriSasa huyu siri za chama si zitakua sio siri tena ila huyu jamaa anajua sana kubishana mahakaman ni sehem sahihi sana kwake
Mbona wewe ndiye mropokaji mkubwa.Lissu kila akiamka anaropoka.
Bado siamini kama CHADEMA itatoka salama kwenye hii civil war. Haijalishi mshindi ni nani."Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
-
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
-
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC
View attachment 3195983