Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishinda Lisu, utauona mwamko mpya wa CHADEMA na wa watu wote wasioridhishwa na jinsi nchi inavyoongozwa. LAKINI kama atashinda MBOWE, nchi itakuwa kama vile ipo kwenye msiba, na hakuna mtu atakayepoteza muda wake kwa sababu ya CHADEMA.Bado siamini kama CHADEMA itatoka salama kwenye hii civil war. Haijalishi mshindi ni nani.
Unafananisha vipi kiongozi wa chama na kiongozi wa nchi (rais)!"Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
-
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
-
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC
View attachment 3195983
Mangi keshatia pamba masikioni.Kwa watu makini na wenye akili timamu nadhani ujumbe umefika.
Du, lakini jamaa anajua kufikisha ujumbe. Yaani anapiga kwenye mshono tu wala hakosei."Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
-
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
-
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC
View attachment 3195983
Itakuwa vizuri ili wananchi wawe wanaangalia taasisi badala ya mtu. Mtu anaweza akaondoka mda wowote lakini taasisi itaishi.Akishinda Lisu, utauona mwamko mpya wa CHADEMA na wa watu wote wasioridhishwa na jinsi nchi inavyoongozwa. LAKINI kama atashinda MBOWE, nchi itakuwa kama vile ipo kwenye msiba, na hakuna mtu atakayepoteza muda wake kwa sababu ya CHADEMA.
Imeisha hiyoo..."Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
-
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
-
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC
View attachment 3195983
Lissu ni akili kubwa."Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
-
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
-
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC
View attachment 3195983
Ndio mnavyo jidanganya ma keybord worrior?Akishinda Lisu, utauona mwamko mpya wa CHADEMA na wa watu wote wasioridhishwa na jinsi nchi inavyoongozwa. LAKINI kama atashinda MBOWE, nchi itakuwa kama vile ipo kwenye msiba, na hakuna mtu atakayepoteza muda wake kwa sababu ya CHADEMA.
Raila Odinga kaongoza chama chake tangu enzi za Moi na alio pambana nao wawili walisha fariki Moi na Kibaki but still yeye ni mwenyekiti na wanachama wanaona ni sawaKama kwenye uenyekiti tu hataki kung'atuka , akiwa raisi si ndio atafia madarakani
Kama wanaangakia Taasisi hawahitaji mtu wa kuwaongoza, Wakenya hawategemei kiongozi yoyote wa siasa wao kuingia Barabarani.Itakuwa vizuri ili wananchi wawe wanaangalia taasisi badala ya mtu. Mtu anaweza akaondoka mda wowote lakini taasisi itaisha
Ana risasi mwilini inamuwasha sana lazima aropoke.Lissu kila akiamka anaropoka.