HakikaAkishinda Lisu, utauona mwamko mpya wa CHADEMA na wa watu wote wasioridhishwa na jinsi nchi inavyoongozwa. LAKINI kama atashinda MBOWE, nchi itakuwa kama vile ipo kwenye msiba, na hakuna mtu atakayepoteza muda wake kwa sababu ya CHADEMA.
taasisi imara ya siasa ni CCM, wananyukana kimyakimya ndani kwa ndani wakitofautianaItakuwa vizuri ili wananchi wawe wanaangalia taasisi badala ya mtu. Mtu anaweza akaondoka mda wowote lakini taasisi itaishi.
Loyalists wa Ayatollah Mbowe hawatakubali yaishe. Huo mpasuko utatibika vipi?Akishinda Lisu, utauona mwamko mpya wa CHADEMA na wa watu wote wasioridhishwa na jinsi nchi inavyoongozwa. LAKINI kama atashinda MBOWE, nchi itakuwa kama vile ipo kwenye msiba, na hakuna mtu atakayepoteza muda wake kwa sababu ya CHADEMA.
Kazi juu ya kazi hahaHakika
Sasa huyo wanayempigia chapuo awe kiongozi mkuu halafu fridge haligandishi atajenga taasisi au kitakuwa kikundi cha kutuhumiana kila siku.taasisi imara ya siasa ni CCM, wananyukana kimyakimya ndani kwa ndani wakitofautiana
Dr slaa na Maria ndio watakiokoa?Hiyo ni fact. CHADEMA inazama haiwezi kuokolewa na anayeizamisha
Hata aseme nini lkn hapati uenyekitiLissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe.
---
View attachment 3195956
Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC Sam Awami
Itaokolewa na CCMMsihea
Dr slaa na Maria ndio watakiokoa?
Anatapa tapaHuyo ndio Lissu.
Ndio nawashangaa hawa wanaharakati uchwara wanaohangaika na mtu. Kama wameona chama hakisimami na hao wananchi wanaoqasema kwa nini wasianzishe movement zao wafanye mambo kama Kenya?Kama wanaangakia Taasisi hawahitaji mtu wa kuwaongoza, Wakenya hawategemei kiongozi yoyote wa siasa wao kuingia Barabarani.
Sahihi kabsa, MABADILIKO NI MUHIMU SANA NDANI YA CHADEMA! Wasipofanya hivyo basi CCM ataendelea kutawala milele na milele"Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
-
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
-
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC
View attachment 3195983
Kwahiyo mbowe atakiokoa ?Msihea
Dr slaa na Maria ndio watakiokoa?
Akiokoe vipi tena? Anakiokoa kuingia kwa maria spaceKwahiyo mbowe atakiokoa ?
Kunyoa kihunI ndio kunyoaje labdaaache kunyoa kihuni
kamuulize mamaako mjinga weweKunyoa kihunI ndio kunyoaje labda