Leo nitatuma tena mchango wangu. Hakika wewe ni tunu ya Tanzania. Kusudi la Mungu kwa watanzania litadhihirika kupitia wewe Tundu Antipas LissuKauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu baada ya kuingia mahakamani ambapo leo anatarajiwa kuendelea kuuliza maswali ya dodoso kwa mashahidi kwenye shauri la kikatiba na 7300/2026 lililofunguliwa Mawakili Kulwa Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo ambao wanalalamikia kuzuiwa kuingia gereza la Ukonga na kushindwa kupata faragha ya mazungumzo na mteja wao(Lissu) walipofanikiwa kuingia.
Baada ya kumaliza dodoso la jana kwa kwa shahidi wa kwanza ambae ni Maduhu leo shauri hilo lililopo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) ambao ni Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa litaendelea kwa maswali ya dodoso pande zote.
Aisee kama haya ndo mawazo yako basi tuna kazi kubwa sanaChama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!
Kama CCM ni wakoloni
Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa
Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??
Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️👈
Kwani ukiacha kuliwa na Abdul utapungukiwa nini wewe mdogoeeChama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!
Kama CCM ni wakoloni
Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa
Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??
Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za gWananchi wenyewe ☠️☠️👈
Kwa jinsi mnavyoteka raia na wizi mnaoufanya kwenye rasilimali zetu hata mkoloni hawafikiiChama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!
Kama CCM ni wakoloni
Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa
Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??
Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️👈
Mzee hili ni chawa huwa linashinda kwenye skintight ya bimsumiKwani ukiacha kuliwa na Abdul utapungukiwa nini wewe mdogoee
Wajinga hawatakosekana Duniani,huyo ni mmoja wapo!Aisee kama haya ndo mawazo yako basi tuna kazi kubwa sana
Mkuu usishangae sana, mtu akishakuwa chawa anakuwa hana tofauti na gasho!.Aisee kama haya ndo mawazo yako basi tuna kazi kubwa sana
Kwa hatua tuliyofikia, ni bora tukawajaribu na wapinzani ili ccm wakae pembeni wajipange upya. Tukiendelea na hii ccm iliyotekwa na wahuni, mafisadi na majangili; hii nchi yote itadumbukia shimoni miaka michache ijayo.Kuchangia Chama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!
Kama CCM ni wakoloni
Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa
Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??
Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️ mwenzenu
Sijala ndio Mkombozi ‼️
au ni Heche uyu uyu 👈
Kama wafanyavyo UK kila leo wanabadilisha waziri mkuu aidha kwa uchaguzi au kujiuzuruKwa hatua tuliyofikia, ni bora tukawajaribu na wapinzani ili ccm wakae pembeni wajipange upya. Tukiendelea na hii ccm iliyotekwa na wahuni, mafisadi na majangili; hii nchi yote itadumbukia shimoni miaka michache ijayo.
Ccm inajiendesha au imepora kila kitu kutoka kwa wananchi? Mukiondolewa madarakani mali mlizoipora zitarejeshwa serikalini wapuuzi nyieKama chama kinashindwa kujiendesha chenyewe kiuchumi, kisiasa kitaweza kuendesha nchi?