Tundu Lissu: Changieni baraza kuu, changieni chama cha Ukombozi

Wewe akili yako ni finyu haina nafasi zaidi ya kutafsiri zaidi ya ujazo wako.Ungejituliza tu kama kasuku.
 
Tayari mkuu nimechangia mkuu, ila nitachangia tena maana hiki chama ni chetu sote hata ccm watakihitaji tu siku moja
 
Kama chama kinashindwa kujiendesha chenyewe kiuchumi, kisiasa kitaweza kuendesha nchi?
Lakini kisheria si kina sifa ya kupokea ruzuku? Kwa nini msajili amesitisha kutoa ruzuku kwa CHADEMA na ambayo iko kisheria?

Na wanachama nao ni jukimu lao kuchangia ada ya kadi, tonetone, nk. Na ndiyo maana Mwenyekiti amewakumbusha wanachama na viongozi wenzake.
 

At least unamjua MKOLONI wa sasa.....!!
 
Kama utakuwa na akili timamu, huwezi kufananisha CHADEMA ambayo haijashika dola na CCM inayotumia kodi zako kukandamiza haki zako.
 
Naomba kuelimishwa, mi nlidhani ruzuku ni kwa chama kilichoshiriki uchaguzi tu!...
 
Tayari mkuu nimechangia mkuu, ila nitachangia tena maana hiki chama ni chetu sote hata ccm watakihitaji tu siku moja

Weka Ushahidi apa kama kweli umetuma japo 1000 tu tuone

Nyie lengo lenu kuwadanganya watoto 😂

Weka Ushahidi❗️
 
Kama utakuwa na akili timamu, huwezi kufananisha CHADEMA ambayo haijashika dola na CCM inayotumia kodi zako kukandamiza haki zako.

Ungekuwa na Akili usingejibu ulichojibu👈

Ungeelewa maana je ni wapi Wapinzani wamechukua Utawala na Wananchi wakakombolewa kiuchumi!!!! ??


Sisi Tanzania hatutaki kujutia ndiomana👈

tunataka kwanza tuone kwengine uko Je baada ya Upinzani kushika Serikali kuna mafanikio yoyote kwa Wananchi jibu

Kote ni O
Zambia
Kenya
Malawi
Nk.
Raia wao bado masikini 👈

Kenya ndio kwanza maandamano kila Uchao‼️

kiasi tofauti ya chama Tawala na chama cha Upinzani
Hawaiyoni mifukoni mwao !!
 
Hapa ndipo nimekuona akili hauna, ina maana kama marafiki zako walifeli mtihani, hiyo inamaanisha na wewe ukifanya mtihani utafeli?
 

Hata Libya nawao walisema kama ww lkn leo ni majuto!!!

Wewe ni mwana CCM sioni Upinzani kunanini cha kukuvutia❗️

CCM ile ya zamani lkn tangu Rais Benjamin William Mkapa mpaka sasa wanaenda mbio kutekeleza malengo muhimu ya nchi yetu👈

Wapinzani bado sana hata kujieleza hawawezi!!
Matendo yao kiakili yanakataa kabisa!!

Mfano kuna wanachama wamepewa barua ya kujieleza ndani ya siku 14 kisa wameongea nje yani kwenye MEDIA
kumshutumu Mkm. Heche sawa‼️

Kada mwengine nayeye kaja kupitia njia ileile MEDIA yeye uyu kamshutumu Lema ❗️
Je nayeye kapewa siku 14 za kujieleza 🫎🫎‼️🤠🤠🤠

Sasa ni Demokrasia gani ipo ndani ya CHADEMA??

wanajua maana ya Demokrasia ?

wanajua maana ya chama cha Wananchi ??

Vipi kinaongozwaje na utashi wa mtu mmoja ¿¿¿
 
Jamaa wanawaza michango tu kila muda.
Kuna vyama vya upinzani maelfu duniani si waombe huko kupigwa jeki.
Wao wamo tu na huyu raka choka mbaya wanyonye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…