Tundu Lissu: DCI Kingai kaniandikia barua ya wito wa kuripoti ofisini kwake. Nipo nje ya nchi, wiki ijayo narudi kumkabili

Tundu Lissu: DCI Kingai kaniandikia barua ya wito wa kuripoti ofisini kwake. Nipo nje ya nchi, wiki ijayo narudi kumkabili

Ndio kipindi hiki hiyo kesi imekumbukwa!?
Yeye mwenyewe Wakili kupeleka Malalamiko yako court na siku hukumu imetoka kuwa makubaliano yamefutwa hivyo kesi iendelee. Sasa wewe inalalamika nini wakati Wakili kataka Mwenyewe na ajua kabisa kuwa kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi na yeye kataka iendelee anajua kuwa haina dhamana .
 
Back
Top Bottom