Tundu Lissu: DCI Kingai kaniandikia barua ya wito wa kuripoti ofisini kwake. Nipo nje ya nchi, wiki ijayo narudi kumkabili

Matunda ya Mwenyekiti wake nyuma ya pazia la Maridhiano. Ngoja waparuane
 
Vibaraka wa mabeberu nyie inje za inje mnatafuta nini mmeacha jengo lenu la mchongo kutwa inje za inie hopeless kabisa nyie.
Mnapinga uwekezaji ili tuendelee kuwa tegemezi kwa hao mabeberu wenu[emoji706]
Na wewe ni mmojawapo ya walamba asali
 
Kwa hiyo wanataka arudi tena kuwa maarufu??

Polisi wanafanya makusudi?
 
Lissu is one the people who were born so the rest we can live/survive on this planet.

Kwa maneno mengine, watu aina ya Lissu, waliletwa duniani kwa malengo maalumu; wengine tulizaliwa kujaza ulimwengu(kuishi).
I agree 100%
 
Sijawahi kupoteza imani na Lisu, japo alikosea kwa kukubali kumpokea jizi Lowassa ndani ya CDM na kupewa nafasi adhimu ya kugombea urais wakati alikuwa hastahili.
Kama Akina Lissu na Mbowe walikubali mimi na wewe ni nani tupinge?

Kama kwa maumivu na shida walizopata kujenga chama hadi mimi na wewe tukakipenda na ikafika mahali wakatafakari wakaona Lowasa anaweza kugombea sidhani kama kuna Mtu mwingine ana uhalali wa kupinga.

I stand to be corrected
 
Huu mwenge unatakiwa itupwe mbali ndio inafanya Watanzania watawaliwe na mazuzu..usikute ndio kimbola tunapigwa watanzani tunakosa umoja wa kusimamia mambo yetu.
Ila siku hizi watu wameanz kuupotezea ndio maana wameanza kushtuka hata kwenye DP
 
Vijina wa suti wako kazini kuhakikisha SA100 harudi2025
 
Kamata hao weka kolokoloni wasote kabisa mpaka 2026. Mbowe na Lisu ni wahuni wahuni, walitutukania Dkt Magufuli mpaka wakafanya sherehe ya kifo chake na wameyakoroga tena kwa Mama, acha wakomeshwe!

Ningekuwa polisi ningehakikisha namrusha kichura chura lisu na mbowe halafu namtandika mbowe kirungu utosini huku analia anaruka kichura chura na lisu namchapa kirungu cha kwenye magoti namrusha kichura chura akome.
 
TUACHE KUCHANGANYA KWA MIHEMKO YA KISIASA NA PROPAGANDA ZA KIJINGA KWENYE TAALUMA YA SHERIA. MFANO HALISI NI HUU HAPA
SABABU ZA KUKAMATWA WAKILI PETER MADELEKA

Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code) kifungu cha 337 cha sheria hiyo. Pia alishtakiwa chini ya kifungu cha 12 cha Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumu ( Anti Money laundering Act).

Wakati shauri lake linaendelea aliomba kufanya makubaliano na serikali ( Plea Bargaining) na taratibu zote za kufanya makubaliano zilifuatwa na ndipo aliachiwa huru.

Mara baada ya kuachiwa huru kupitia vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii Wakili Madeleka aliendelea kuchapisha habari kuwa alilazimishwa kukiri kosa na aliekuwa mkurugenzi wa mashtaka.

Baadae alifungua kesi katika mahakama kuu akipinga taratibu hizo lakini maombi hayo madogo yalitupwa nje kwa kuwa mahakama haikuwa na mamlaka ya kusikiliza shauri Hilo.

Ndipo alifungua shauri hilo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kupinga maamuzi hayo lakini mahakama ilitoa maamuzi kuwa taratibu zote za makubaliano ( plea bargaining )zilifanyika sawa.

Baada ya maamuzi hayo alikata rufaa tena na kuja na sababu tofauti ambapo mahakama ilisikiliza Hoja zake na kutoa amri kuwa taratibu za makubaliano hazikuzingatiwa hivyo kuamuru status ya kesi yake kurudi kama ilivyokuwa awali.

Baada ya maamuzi hayo Wakili Madeleka alikamatwa tena ili kuweza kuendelea na kesi yake ya msingi na kwa kuwa makosa anayoshtakiwa nayo hayana dhamana.

UPOTOSHAJI:

Jamii inapotoshwa na kuaminishwa kuwa mshtakiwa ameshikwa kutokana na kutoa maoni yake juu ya Mkataba wa DP world na Serikali ya JMT jambo ambalo si sahihi.

Ikumbukwe watu mbalimbali wametoa mawazo yao na hakuna yoyote alieshikwa.
Hata katika kesi iliyofunguliwa na mawakili yeye si miongoni Mwao.

Hivyo ifahamike na itambulike mshtakiwa ameshikwa kwa makosa yake aliyoyafanya huko nyuma ambapo yeye mwenyewe alikiri na sasa ameomba mahakama ifute maamuzi hayo hivyo kesi yake ya msingi inaendelea.
 
Kamata hao weka kolokoloni wasote kabisa mpaka 2026. Mbowe na Lisu ni wahuni wahuni, walitutukania Dkt Magufuli mpaka wakafanya sherehe ya kifo chake na wameyakoroga tena kwa Mama, acha wakomeshwe...
Tulia Popomalism...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…