The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
View: https://youtu.be/_oeaplrbrKI?si=csV0SmcI42OT19akTundu Lissu: Ramadhani Kingai anakuja kunitetea
Mhudhuriaji wa mahakama: Wewe si umesema mna ugomvi naye, sasa atakuja kuteteaje?
Tundu Lissu: (kwa msisitizo). Atakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. Itabidi aje anyooshe maelezo
Mhudhuriaji mahakamani: How do you feel? Si itakuwa mwendo mrefu...
Tundu Lissu: Mimi ni Marathon runner. Nimepigana kwa miaka 30 tangu nikiwa kijana...
I am now closing to 60years and I still have more years to go and I keep the fight..
And I never give up the fight - Bob Marley said, never give up the fight...
So let's not give up the fight, stand up for your rights.
And I feel so good. I am not tired and I will never be. Waambieni Watanganyika, Mwenyekiti yuko vizuri. Watakuja tu kunitetea...!!
============This guy is very exceptional, very unique. He's God's Messiah to save the community from the bondages of the devil working in human being shapes...
♦️♦️May The Almighty God bless you Mr Tundu Lissu. You're actually the Justice itself
HUYU anafaa kuwa Rais. Hakika HUYU ndiye Rais ajaye
View: https://youtu.be/_oeaplrbrKI?si=csV0SmcI42OT19akTundu Lissu: Ramadhani Kingai anakuja kunitetea
Mhudhuriaji wa mahakama: Wewe si umesema mna ugomvi naye, sasa atakuja kuteteaje?
Tundu Lissu: (kwa msisitizo). Atakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. Itabidi aje anyooshe maelezo
Mhudhuriaji mahakamani: How do you feel? Si itakuwa mwendo mrefu...
Tundu Lissu: Mimi ni Marathon runner. Nimepigana kwa miaka 30 tangu nikiwa kijana...
I am now closing to 60years and I still have more years to go and I keep the fight..
And I never give up the fight - Bob Marley said, never give up the fight...
So let's not give up the fight, stand up for your rights.
And I feel so good. I am not tired and I will never be. Waambieni Watanganyika, Mwenyekiti yuko vizuri. Watakuja tu kunitetea...!!
============This guy is very exceptional, very unique. He's God's Messiah to save the community from the bondages of the devil working in human being shapes...
♦️♦️May The Almighty God bless you Mr Tundu Lissu. You're actually the Justice itself♦️♦️
Unajua mabaya yaliyotendeka 29/October?Ukweli mchungu Lissu kajichanganya safari hii na tutamsahau mda sio mirefu huwezi kulipa ubaya kwa wema na Mungu akakukalia kimya.
Vituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.Unajua mabaya yaliyotendeka 29/October?
Wewe hata hujui unaloongea. Yaani unaweza kusema serikali hii halamu inatenda wema harafu Lissu ndio mbaya. Nadhani wewe ni mgonjwaUkweli mchungu Lissu kajichanganya safari hii na tutamsahau mda sio mirefu huwezi kulipa ubaya kwa wema na Mungu akakukalia kimya.
Atutaki kusikia kelele tu baadae akiukumiwa kunyongwa mulimsifia Nchimbi kakosa kazi na ajira Sasa ivi anapambana na familia yake,mukamsifia mchaga Tesha kwamba kamanda na Traore wa bongo now kimya,mukampa kichwa Polepole nae kimya bado Lisu nae tutamsahau tu ngoja hukumu itokeShida iliyopo ni hii hapa; Lissu ni akili kubwa halafu ana rabia ya kukutangulia mbele. Kupambana na mtu wa aina hii ni kazi sana
Nyie ndo mnaokula kodi zetu ..Ukweli mchungu Lissu kajichanganya safari hii na tutamsahau mda sio mirefu huwezi kulipa ubaya kwa wema na Mungu akakukalia kimya.
Lisu ndie kaleta ubaya nchini kumbuka alinusurika kuuwawa na akakimbia nchi Mama Samia kaenda kumuona hospitali kipindi ambacho CCM ilikua inamuona Lisu kama Muhaini kwa kupingana na Magufuli bado Mama Samia kamrudisha bongo aje afanye siasa alichoamua kumlipa ni kukinukisha ili nchi isitawalike Sasa nalo limefeli asubiri majibu ya ubaya wake baada ya kutanguliziwa wema na Mama Samia Mungu anaona na analipa hapahapa Duniani.Wewe hata hujui unaloongea. Yaani unaweza kusema serikali hii halamu inatenda wema harafu Lissu ndio mbaya. Nadhani wewe ni mgonjwa
Dah,Waambieni Watanganyika, Mwenyekiti yuko vizuri. Watakuja tu kunitetea...!!
Vituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.
Ukweli mchungu Lissu kajichanganya safari hii na tutamsahau mda sio mirefu huwezi kulipa ubaya kwa wema na Mungu akakukalia kimya.
Malizia sentens,i mbona unaficha Roho za watu zilizo teketezwaVituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.
Uliwakamata waliochoma?Kesi zao zinaendelea wapi na wao wako wapi?Vituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.