Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

Ukweli mchungu Lissu kajichanganya safari hii na tutamsahau mda sio mirefu huwezi kulipa ubaya kwa wema na Mungu akakukalia kimya.
Mtu mwema hazuiliki, Mafanikio yake hayazuiliki na chochote, na Kuna wakati hata shetani mwenyewe hujikuta akitoa jasho kuchangia mafanikio yake

Huyo ndo Lissu
 
Kitu kinachonifanya mimi binafsi nimkubali sana TL na kumuamini, ni kwamba hana bei (Price tag). Mtu mwingine angeshakaa mezani kupanga bei na CCM, muda sana..
Hii ndio ilikuwa na ndiyo tabia ya Yesu Kristo mpaka leo na hata milele..

Yesu Kristo hakuwahi ku - compromise na UOVU dhidi ya HAKI...

Huyu ni Yesu Kristo mwenyewe ndani ya Tundu Lissu...

Huyu jamaa anahubiri injili ya Yesu Kristo katika namna ambayo ni very unique, very exceptional...

Hatumii majengo yanayoitwa "mahekalu" au "makanisa". Yeye ni popote awapo ana demonstrate tabia na mwenendo wa Yesu Kristo..

This is the TRUE GOSPEL OF JESUS CHRIST....

Wengi hawatanielewa kumpa sifa hii huyu bwana, lakini huu ndio ukweli..!!
 
Atutaki kusikia kelele tu baadae akiukumiwa kunyongwa mulimsifia Nchimbi kakosa kazi na ajira Sasa ivi anapambana na familia yake,mukamsifia mchaga Tesha kwamba kamanda na Traore wa bongo now kimya,mukampa kichwa Polepole nae kimya bado Lisu nae tutamsahau tu ngoja hukumu itoke
Wewe akili yako ni ubinafsi tu
 
Siku ya uchaguzi polisi waliamka na kuanzia kuwapiga watu risasi bila sababu? Kauli za kukinukisha,hakutakua na uchaguzi,tutafanya uasi,watatufanya Nini,no reform no election,uchaguzi hautofanyika hizi zilisemwa na viongozi gani? Mnapenda ugomvi halafu nguvu Amna mnataka muonewe huruma nyinyi ndio sababu za vurugu,Kuna njia nyingi za amani za kidai haki bila kuumizana ila nyinyi hamtaki amani mnataka haki kwa vita haya linukisheni tena pilau.
...yaani nyie washenzi na hayawani mnadhani na kuona kuwa vituo (majengo uchwara mnayoita vituo vya polisi), sheli na vituo vya kupigia kura na ushenzi mwingine wowote mnazoita "mali zenu" vina thamani sana kuliko uhai wa maelfu ya ndugu zetu mliowaua ili mpate madaraka haramu hayo, au siyo..?

...by the way, hayo yanamhusu nini Tundu Lissu?

...mbona mliwakamata wahusika, mkawafungulia mashitaka ya uhaini/ugaidi, then from nowhere with unknown reasons mkawaachia kwa kusema mnawasamehe?

...na kuna hata mmoja wa hao waliochoma hayo ambaye kawaambia alitumwa na Tundu Lissu kufanya hivyo?

....You were playing a very stupid and foolish political game that will consume you and your entire families forever!!

...by the way, ni nani aliwaua ndugu zetu 518 (kwa takwimu za Jaji Chande though the number is more than 10,000 people)? Ni nani alitoa amri ya kumfyatulia Kila mtu risasi na kuua ile Oktoba 29, 2025? Nani kukamatwa na kushitakiwa kwa mauaji hayo? Kiongozi gani yeyote wa serikali hii kawajibika au kawajibishwa?
 

View: https://youtu.be/_oeaplrbrKI?si=csV0SmcI42OT19ak
Tundu Lissu: Ramadhani Kingai anakuja kunitetea

Mhudhuriaji wa mahakama: Wewe si umesema mna ugomvi naye, sasa atakuja kuteteaje?

Tundu Lissu
: (kwa msisitizo). Atakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. Itabidi aje anyooshe maelezo

Mhudhuriaji mahakamani: How do you feel? Si itakuwa mwendo mrefu...

Tundu Lissu
: Mimi ni Marathon runner. Nimepigana kwa miaka 30 tangu nikiwa kijana...
I am now closing to 60years and I still have more years to go and I keep the fight..

And I never give up the fight - Bob Marley said, never give up the fight...

So let's not give up the fight, stand up for your rights.

And I feel so good. I am not tired and I will never be. Waambieni Watanganyika, Mwenyekiti yuko vizuri. Watakuja tu kunitetea...!!


============​
This guy is very exceptional, very unique. He's God's Messiah to save the community from the bondages of the devil working in human being shapes...

♦️♦️May The Almighty God bless you Mr Tundu Lissu. You're actually the Justice itself♦️♦️

Bahati mbaya upande wake unatumia akili na upande ule unatumia mabavu na ndio utajipa ushindi.
 
Siku ya uchaguzi polisi waliamka na kuanzia kuwapiga watu risasi bila sababu?
Jibu ni NDIYO kubwa kabisa.

Na Mifano iko mingi;

1. Mwanza - Ilemela Polisi wakiwa ktk magari yao (landcruiser pick-up za bomba) walivamia banda la kuangalizia mpira, wakawatoa wote takribani watu 35 hivi waliokuwa wanaangalia mpira, wakawalaza chini na kuwapiga risasi. Vijana wawili walifanikiwa kuchoropoka na kukimbia.

2. Huko huko Mwanza, Polisi walivamia kijiwe cha kahawa na kuwachapa risasi wote waliokuwa pale

3. Kule Arusha, mama mjamzito akiwa ameambatana na mwanae mdogo wa miaka kati ya 5 - 7 (video yake iko viral katika mitandao ya kijamii) akiwa anatoka zake kwenye shughuli zake za kusaka mkate wa kila siku sambamba na watu wengine wakitembea tu barabarani, ghafla Polisi walitokea na magari yao na kuanza kushambulia na kuua kila mtu. Mama huyu, yeye kwa kushindwa kukimbia vizuri, alipigwa risasi ya mgongoni na mimba yake na kufa palepale!

4. Kwa kifupi kote iwe DSM, Mwanza, Mbeya, Tunduma nk Polisi na TISS wakiwa katika mavazi ya kiraia na wengine wakiwa wamefunika nyuso zao (kininja) walikuwa wakisaka watu majumbani, madukani na yeyote aliyeonekana mbele yao alipigwa risasi

5. Polisi wengine walikuwa wakipenyeza risasi madirishani kwenye nyumba za watu ili mradi wamwage damu tu...

#Kwa siku 4 - 5 kuanzia tarehe 29/10 - 3/11/2025 Polisi na TISS na KMKM toka Zanzibar ni kama walikuwa vichaa waliovuta bhangi na kumeza roho ya kuua yeyote waliyekutana naye barabarani

#Hilo wala halikuwa zoezi la kuzuia ghasia au kupambana na waandamanaji. Ule ulikuwa mpango mkakati wa makusudi wa kuua idadi fulani ya watu ili Samia na genge lake wapate madaraka ya u - Rais!!
Kauli za kukinukisha,hakutakua na uchaguzi,tutafanya uasi,watatufanya Nini,no reform no election,uchaguzi hautofanyika hizi zilisemwa na viongozi gani?
Na nyie kama mazuzu na wajinga mkafungua maghala ya silaha bunduki, mabomu, risasi na kuanza kuua watu hovyo kwa kisingizio cha "kauli hizi...?"

That's how stupid and foolish you are...

Mbinu na mikakati yenu ilikuwa ni ya kijinga, kishamba na ya kipumbavu kabisa. Na ndio maana ika - backfire na sasa ujinga wenu umewarudia na unawatafuna wenyewe na bwana zenu..!

Kati ya kosa la kuua na kutoa kauli tu, kwa akili zako hizo za kuvukia barabara, unadhani ni nani kati ya hawa wawili atakuwa ame - commit a very serious crime?

Well and good...

Mtoa kauli huyo mmemkamata na kumfungulia mashitaka ya uhaini...

Vipi wale walioua maelfu ya Watanganyika wenzetu?

Kesi zao ziko mahakama ipi..?

Sikiliza wee mpuuzi. There's no way, kuwa haya yataisha na kupita hivihivi bila wauaji wote kushughulikiwa ipasavyo..!

Na mtoa amri ya SHOOT to KILL Samia Suluhu Hassan lazima naye akumbane na mkono wa sheria na ni lazima naye ale kitanzi mpaka afe..!!

If you want to see this happens with your two dry eyes, then time to witness everything is coming very soon...
 

View: https://youtu.be/_oeaplrbrKI?si=csV0SmcI42OT19ak
Tundu Lissu: Ramadhani Kingai anakuja kunitetea

Mhudhuriaji wa mahakama: Wewe si umesema mna ugomvi naye, sasa atakuja kuteteaje?

Tundu Lissu
: (kwa msisitizo). Atakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. Itabidi aje anyooshe maelezo

Mhudhuriaji mahakamani: How do you feel? Si itakuwa mwendo mrefu...

Tundu Lissu
: Mimi ni Marathon runner. Nimepigana kwa miaka 30 tangu nikiwa kijana...
I am now closing to 60years and I still have more years to go and I keep the fight..

And I never give up the fight - Bob Marley said, never give up the fight...

So let's not give up the fight, stand up for your rights.

And I feel so good. I am not tired and I will never be. Waambieni Watanganyika, Mwenyekiti yuko vizuri. Watakuja tu kunitetea...!!


============​
This guy is very exceptional, very unique. He's God's Messiah to save the community from the bondages of the devil working in human being shapes...

♦️♦️May The Almighty God bless you Mr Tundu Lissu. You're actually the Justice itself♦️♦️

Very Bold statement
 
Back
Top Bottom