Alivichoma Tundu lissu?Vituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.
Alivichoma Tundu lissu?Vituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.
Walisamehewa na serekali ya CCM naUliwakamata waliochoma?Kesi zao na wao wako wapi?
Hivyo vitu na uhai wa maelfu ya wananchi ni kipi cha thamani??Vituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.
Kwa hiyo TAML ndiyo Yesu wao wa kutumika kuwafutia makosa yao ya jinai?Walisamehewa na serekali ya CCM na
..waliotekwa, kuteswa, na kuuwawa, kabla hata ya hiyo Oct 29 hukuwasikia?
Miongoni mwa waliopata madhira kabla ya oct 29 ni Lisu lakini Mama alimrudisha bongo kwa kujua mtangulizi wake alikosea Lisu baada ya kurudi mama ndio akataka amfanye punching bag lake.
Watu kuuwawa sio sawa na siungi mkono kuuana ila kabla ya kuuwawa walifanya vitendo ambavyo vingeachwa nchi isingetawalika na hakuna nchi ingekubali iingie kwenye ombwe la uongozi..vipi askari polisi waliotumiwa kuuwa watu kwa mamia Oct 29. Tumeangalia madhara waliyoyapata? Au tunadhani ni sawa?
Hakuna Serikali inayopendwa Duniani na watu wake wote narudia tena hakuna kwaiyo wewe kutoka kuipenda jua wapi tunaoipenda...Na umeona wapi serikali inayotenda maovu kiasi hicho isiwe na watu wanaoichukia?
Na siku chadema na wanaharakati wakiwa na fadhila na shukrani tutakua salama sana...serikali na Ccm wakiacha mambo yao ya hovyo wote tutakuwa salama.
CCM inaweza kushinda kwa asilimia 100% inategemea anashindana na nani...Na Ccm kushinda bila kutumia mabavu ni jambo linalowezekana, lakini haitakuwa ushindi wa asilimia 97%.
Yeye ni polisi?Uliwakamata waliochoma?Kesi zao zinaendelea wapi na wao wako wapi?
Alivyojivimbisha kifua na mashavu kuandika alijifahamu yeye ni nani?Halafu,CPA/Criminal Procedure Act inatoa nafasi hadi kwa raia kukamata muhalifu kwa utaratibu.Yeye ni polisi?
Inalazimisha kutenda hayo au kutekeleza hayo?Alivyojivimbisha kifua na mashavu kuandika alijifahamu yeye ni nani?Halafu,CPA/Criminal Procedure Act inatoa nafasi hadi kwa raia kukamata muhalifu kwa utaratibu.
Niliwaona?Yeye aliyewaona angetenda.Inalazimisha kutenda hayo au kutekeleza hayo?
Je, wewe kama raia mwema ulifanya hayo yaliyopo kwenye CPA?
Vituo vya kupigia kura zilizokuwa zinatikiwa na watendaji kwenye vyumba, 2030 jiandaeni kuuwawa isipokuwepo katiba mpya nguruwe nyinyiVituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.
Ni swala la muda tu mtatoa milio na mjiandae kukimbia nchi au muuwawe.Atutaki kusikia kelele tu baadae akiukumiwa kunyongwa mulimsifia Nchimbi kakosa kazi na ajira Sasa ivi anapambana na familia yake,mukamsifia mchaga Tesha kwamba kamanda na Traore wa bongo now kimya,mukampa kichwa Polepole nae kimya bado Lisu nae tutamsahau tu ngoja hukumu itoke
Kwa akili za ma CCM.Kwa hiyo TAML ndiyo Yesu wao wa kutumika kuwafutia makosa yao ya jinai?
Hukuona polisi wakiua watu ili Samia atangazwe kwa kura 31m ambazo hakukuwa na hao wapiga kura vituoni?Vituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.
Hukumu mmeshaindika kabisa? Anayekuambia hao uliwataja wamesahaulika ni nani? Kama unadhani wamesahaulika, tunza huu uzi utakuja kucheka kichina.Atutaki kusikia kelele tu baadae akiukumiwa kunyongwa mulimsifia Nchimbi kakosa kazi na ajira Sasa ivi anapambana na familia yake,mukamsifia mchaga Tesha kwamba kamanda na Traore wa bongo now kimya,mukampa kichwa Polepole nae kimya bado Lisu nae tutamsahau tu ngoja hukumu itoke
Yaani kwenda kumuona hospitalini kwenye makamera ndio wema? Mbona hajamlipa stahiki zake?Mbona alipotakiwa yeye na chama chake wasaini kwa maandishi kuhusu makubaliano ya kuheshimu chaguzi aligoma? Ama mnadhani ule utapeli wa 4r kila mtu ulimteka?Lisu ndie kaleta ubaya nchini kumbuka alinusurika kuuwawa na akakimbia nchi Mama Samia kaenda kumuona hospitali kipindi ambacho CCM ilikua inamuona Lisu kama Muhaini kwa kupingana na Magufuli bado Mama Samia kamrudisha bongo aje afanye siasa alichoamua kumlipa ni kukinukisha ili nchi isitawalike Sasa nalo limefeli asubiri majibu ya ubaya wake baada ya kutanguliziwa wema na Mama Samia Mungu anaona na analipa hapahapa Duniani.
Watu kuuwawa sio sawa na siungi mkono kuuana ila kabla ya kuuwawa walifanya vitendo ambavyo vingeachwa nchi isingetawalika na hakuna nchi ingekubali iingie kwenye ombwe la uongozi
Hakuna Serikali inayopendwa Duniani na watu wake wote narudia tena hakuna kwaiyo wewe kutoka kuipenda jua wapi tunaoipenda.
Na siku chadema na wanaharakati wakiwa na fadhila na shukrani tutakua salama sana.
CCM inaweza kushinda kwa asilimia 100% inategemea anashindana na nani.
View: https://youtu.be/_oeaplrbrKI?si=csV0SmcI42OT19ak
Tundu Lissu: Ramadhani Kingai anakuja kunitetea
Mhudhuriaji wa mahakama: Wewe si umesema mna ugomvi naye, sasa atakuja kuteteaje?
Tundu Lissu: (kwa msisitizo). Atakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. Itabidi aje anyooshe maelezo
Mhudhuriaji mahakamani: How do you feel? Si itakuwa mwendo mrefu...
Tundu Lissu: Mimi ni Marathon runner. Nimepigana kwa miaka 30 tangu nikiwa kijana...
I am now closing to 60years and I still have more years to go and I keep the fight..
And I never give up the fight - Bob Marley said, never give up the fight...
So let's not give up the fight, stand up for your rights.
And I feel so good. I am not tired and I will never be. Waambieni Watanganyika, Mwenyekiti yuko vizuri. Watakuja tu kunitetea...!!
============This guy is very exceptional, very unique. He's God's Messiah to save the community from the bondages of the devil working in human being shapes...
♦️♦️May The Almighty God bless you Mr Tundu Lissu. You're actually the Justice itself♦️♦️
Nchimbi atakula mshahara Hadi anazikwa. Huku wewe ukielndelea kulamba vinyeo vya mabwanyenye!Atutaki kusikia kelele tu baadae akiukumiwa kunyongwa mulimsifia Nchimbi kakosa kazi na ajira Sasa ivi anapambana na familia yake,mukamsifia mchaga Tesha kwamba kamanda na Traore wa bongo now kimya,mukampa kichwa Polepole nae kimya bado Lisu nae tutamsahau tu ngoja hukumu itoke
...yaani nyie washenzi na hayawani mnadhani na kuona kuwa vituo (majengo uchwara mnayoita vituo vya polisi), sheli na vituo vya kupigia kura na ushenzi mwingine wowote mnazoita "mali zenu" vina thamani sana kuliko uhai wa maelfu ya ndugu zetu mliowaua ili mpate madaraka haramu hayo, au siyo..?Vituo vya polisi,sheli,vituo vya kupiga kura na miundombinu kadhaa ilichomwa moto.