Lissu atamuua JK na CCM, sasa JK huko Australia sijui atakuwa ICU sielewi...
Lowassa ni mpango wa Mungu..na ataingia Chadema, Ukawa na mamilioni ya wana CCM na wananchi wengine mamilioni... CCM inaenda kufa rasmi...
Hakika, Mungu akiamua kukuua, ataunganisha kila kitu ufe, ndio nayaona kwa CCM, yale ya KANU yanatokea, maneno ya Mwl. Nyerere yanatimia..
Lowassa + Ukawa, hakuna namna CCM ipone hakuna, ni kifo tu.. yaani, kweli kifo kikifika, kimefika...
Na mm nasema, CCM ife tu kabisa, hawakusikiliza sauti ya wananchi... wafie mbali hukoooo