robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 842
- 1,425
Umejiuliza kwa nini UD waligawa Udaktari wa Heshima kwa mtu asiye na Heshima?Kwa kitu gani afikiriwe kwa Nobel? Unafahamu criteria zinazotimika?
Umejiuliza kwa nini UD waligawa Udaktari wa Heshima kwa mtu asiye na Heshima?Kwa kitu gani afikiriwe kwa Nobel? Unafahamu criteria zinazotimika?
Mchakato ukoje?Pamoja na kunusurika ktk jaribio la kifo, pamoja na mateso yote ya viongozi tulionao kwa sasa, na wafuasi wake kufuatiliwa kwa nguvu zote na vyombo vya dola, bado Tundu Lissu anaonesha anapigania haki za watanzania. Labda wengine wanaona kama mpigananji wa CHADEMA, lakini Huyu m-TZ anastahili heko na shukrani ya pekee ktk bara hili.
Wa-TZ tunaungwa mkono na kumtetea Lissu kutokea Jumuiya ya nchi za Ulaya. Kwa sasa tuandike kwa wingi wetu ili aangaliwe kupata zawadi ya Nobel ya amani kwa mwaka ujao wa 2026. Huenda litakuwa fundisho kwa wanaopanga mauaji ya raia wao mitaani.
Mbona wewe huko nyuma kwako umekuzwa bure bila malipo yoyote.Mnamkuza Bure tu
Unawashwa ?
ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia??Unawashwa ?
Wewe ndiyo unajuwaUmejiuliza kwa nini UD waligawa Udaktari wa Heshima kwa mtu asiye na Heshima?
Capteni mboni mkaliUnawashwa ?
Hy Jamaa anajikutaga kada Mtiifu kenge kabisaCorrection.View attachment 3494734
Naomba vigezo vinavyotumika kumpa mulimwengu zaidi hii.kupata zawadi ya Nobel ya amani kwa mwaka ujao wa 2026.
Tundu kashachukua moja huko. Shule inaiwaingia hata kwa ugumu na maumivu ya Chuki.Capteni mboni mkali
Angalia wako Kwanza.ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia??
Lisu ni smarterInamuweka ndani kwa sababu ya Kamdomo tu. Lissu yupo overrated sana na nyie
Njoo nawe ukuzwe, usione wivu.Mnamkuza Bure tu