Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

Well, kuna red line not to be crossed...siku zote wanaovuka hiyo wanakutana na walioshika mpini hawatajali repercussions, he is lucky to be alive hata hivyo
Kumbuka uzi huu uliandikwa hata kabla hajashambuliwa , tulioteshwa na Mungu
 
Ungana naye kwenye ziara ya kwenda kutubu CHATO 🙏🙏🙏
 
Fact,tatizo ni kuwa tundulisu anajua ,anajiamimiani Hana tamaa
 
Ungana naye kwenye ziara ya kwenda kutubu CHATO [emoji120][emoji120][emoji120]
Ulipata mrejesho wa hiyo toba , au tukuletee clip ya alichosema hapo Chato ? Lissu akili kubwa sana.
 
Uoga wako ndio umasikini wako, wale wafungwa kule ukonga ni watanzania wanaohitaji huduma za kisiasa , kwahiyo kama watakutana na shujaa lissu hiyo itakuwa bahati kubwa sana kwao.
Wafungwa? Kwa nini wamefungwa? Siyo kwamba walivunja sheria? Hili gereza wamo waliohukumiwa kunyongwa, hawa ndiyo mashujaa wa Tundu?
 
Wafungwa? Kwa nini wamefungwa? Siyo kwamba walivunja sheria? Hili gereza wamo waliohukumiwa kunyongwa, hawa ndiyo mashujaa wa Tundu?
Bongo huijui wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…