Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Itisha vyombo Vya habari umuiteNani aliyewahi kukamatwa kwa kumwita Mbowe dictator uchwara ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itisha vyombo Vya habari umuiteNani aliyewahi kukamatwa kwa kumwita Mbowe dictator uchwara ?
Katiba inampa uhuru Lissu wa kujieleza.Kama yeye ni mbabe, saa hizi yuko wapi? Hakuna mtu anayeweza kushindana na dola, hasa katika kipindi hiki. Hata kama una pembe ngumu namna gani ni lazima hizo pembe zitang'olewa na hatimaye utashika adabu tu.
siku zote wajinga wanasifa za kijinga ngoja tuone mwisho, Nchi ngumu Sana hii...Acha wajaribu kupambana na huyu jamaa lakini kamwe hawatashinda. Lissu ni Heavy weight politician. Atazidi kuwaumbua kila uchao.
Mbatiza kwa moto amebatizwa yeye kwa manenoItisha vyombo Vya habari umuite
uko kwao akiri mbovu ndyo Mali, ndyo maana haoni haya kuropoka kama hvKama njozi zingekua mali wewe ni tajiri wa kwanza
Ulimboka was not a politician,so tofautisha yeye na mtu ambaye hata haya anayofanyiwa atayafungulia kesi kwani ni usumbufu kwake.kuna mtu alikuwa anaongea na kusumbua serikali kama Dr. ulimboka???
Umeandika kizembe sana !Walibembelezwa wakati wa awamu ya iliyopita, huu ni wakati mwingine, ni lazima nidhamu iwepo katika nchi.
Teteteh, Amwite tena lowasa fisadi tuone!WAKUMFANYIA HIVYO HAYUPO NA HAJAZALIWA
huwezi kuniambia kuwa lissu ni mwanasiasa makini nikakukubalia hata kidogo huyu c mwana siasa bali ni mwanaharakati na mpiga kelele tu mwanasiasa makini cku zote. ujenga hoja zenye mashiko si kuongea kauli zenye kuvunja amani au kufanya ushawishi wowote wenye kuatalisha amani vitendo afanyavyo lissu ni vitendo vya kiharakati si kisiasa Na ni mtu ambae anataka kucheza na akili za watu kwa propaganda dhaifu na kupata attention ya vyombo vya habari lakini linapo kuja swala. la hoja zenye mashiko lissu ni mweupe huwezi hata kumlinganish@ na mnyika, zitto,Ulimboka was not a politician,so tofautisha yeye na mtu ambaye hata haya anayofanyiwa atayafungulia kesi kwani ni usumbufu kwake.
Kama si Tanzania basi ni the Hague Uholanzi
Tundu lissu amesambaratisha kabisa ccm kwenye jimbo lake , kuanzia serikali za vijiji hadi kata , kwa singida hii haikuwa kazi nyepesi .huwezi kuniambia kuwa lissu ni mwanasiasa makini nikakukubalia hata kidogo huyu c mwana siasa bali ni mwanaharakati na mpiga kelele tu mwanasiasa makini cku zote. Na ni mtu ambae anataka kucheza na akili za watu kwa propaganda dhaifu na kupata attention ya vyombo vya habari lakini linapo kuja swala. la hoja zenye mashiko lissu ni mweupe huwezi hata kumlinganish@ na mnyika, zitto,
Mbona Nape anatukana watu na anapeta tu mtaaniDuniani kote Hamna democrasia ya kutukana watu
Tundu lissu ni shujaa .Nadhani mzee wa kubana matumizi itabidi aingie gharama za kujenga Cello ya T. Lissu!! Make Kosa umchanganye tu na mahabusu wengine, tiyari wamepata wakili wao-kesi zote zinakanwa na kuanza upya!!
Nakumbuka majuzi alivyo lala Cello alirudi na kuwatetea walio vunjwa miguu na waliosoteswa muda mrefu Rumande. Ili lilazimu jeshi la Polisi kufuatilia na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari.
Nimecheka sana !Mawazo mufilisi kabisa, wewe hata ukikuta mama yeyoo "anakandamizwa" na mtu wa dola utasema yaishe tuu kwani huwezi kushindana