Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati

Sasa atapambanaje na mtu bila kumtaja kwenye Siasa mnataka kumpangia cha kusema ati bora kule sijui nini kama humuelewi si utamnyima tu kura unamia nini wengine wanapenda hivo anavofanya na watamchagua.
Sasa subiri ataambulia asilimia 20 kwa umbumbu wake wa kutajataja watu badala ya kutaja sera!

Huyu atazidi kuchanganyikiwa siku matokeo yakitoka na kujikuta kashindwa vibaya sana.
 
amerudi nchini kakuta kila TV station, magazeti, radio na kila mahali watu wanamtaja Magufuli.

sasa kuna nongwa gani kwa Lissu naye kuwaunga mkono aliowakuta katika kulitaja hilo jina la "mtukufu yesu"??
Subiri oktoba atapata jibu
 
kampeni ni nini? je lissu kafanya? mbona lowasa alitembea na mabasi nchi nzima na mlikaaa kimya
 
kampeni ni nini? je lissu kafanya? mbona lowasa alitembea na mabasi nchi nzima na mlikaaa kimya
Soma ile sheria sura ya 343 inatamka wazi kampeini maana yake ni nini. Kutokujua sheria siyo utetezi; Lissu ni mwanasheria na analijua hilo ila huenda ni katika moja ya mikakati yake ya "kupeleka watu barabarabani".
 
Huyu huwa anadanganya misukule yake iliyojazana humu mitandaoni! Si unaona inavyotiririka hapa.

Huyu asubiri wanaoju sheria wamfundishe, ndio atapata muda mzuri wa kuwafurahaisha hawa misukule wake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Angeweza kuisema ccm, lakini 2015 mlisema chagua magufuli siyo ccm,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Harafu Magufuli wala hana time na lissu. Lissu ili apate kusikilizwa lazima amtaje Magufuli.
 
Lisu hawezi! Hawezi kamwe!

Unapoziona akili hizi za vijembe za hawa wafuasi wake waliopo humu na yeye ndio hivyohivyo.

Akitoa hivyo vijembe vyake na wafuasi wake kumshangilia, basi hupata mizuka zaidi na kujiona yeye ndio genius,!

Sasa wenye akili tutamfundisha oktoba kwamba kuwa rais ni zaidi ya kumshtaki Magufuli kwa kununua jogoo.
 
Na hata Kigoma kwa sasa inafanana na Dubai.
 
Jaman tuwe tunatoa credit pale jambo linapoonekana, ukweli ni kwamba hakuna mtu jasiri na mwenye uthubutu kama Lissu, sina chama ila wapuuz wa ccm wote wanamwogopa magufuli utadhani yeye ni Mungu hakuna hata mmoja anaeweza kuthubutu kumpinga hata kama atakosea na ni lazima akosee si binadamu bwana wote wekuwa kama wake zake anawageuza anavyotaka, sasa alivyotokea mtu anaeweza kuwa na mawazo mbadala yanayopingana na magu moja kwa moja na anaweza kumsema bila uwoga basi hawa wanawake zake wanakuwa hawapendi, wana jealousy sanabu anachofanya lissu hakuna hata mwana ccm mmoja anaweza kufanya... Wote wamekuwa wazee wa kusifu na kuabudu, wengine wamefikia mpaka point ya kumwita magu ni Yesu...Mwaka huu tutaona mengi
 
Chadema wanaona haiwezekani sababu akili zao wamejaza ujinga kwamba ili maisha yao yaende lazima wajikombe kwa mabeberu
 
Huwezi kuhubiri neno la Mungu bila kumtaja shetani. Huwezi, ukiweza basi wewe sio mhubiri bali ni muabudu shetani tu.
Subiri oktoba Lisu atajikuta yeye ndio shetani!

Kwa sisi tunaojua maana ya ibada tunajua ukiwa unawahubiria watu unawaambia nini cha kufanya ili shetani asiwakaribie, sasa kama kila siku ukisimama unaongea habari za shetani tu, lazima tujiulize mara mbilimbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…