Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Alimtaja Lisu?Aliesema nitaigeuza Tanzania kuwa kama Ulaya ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimtaja Lisu?Aliesema nitaigeuza Tanzania kuwa kama Ulaya ni nani?
Sasa subiri ataambulia asilimia 20 kwa umbumbu wake wa kutajataja watu badala ya kutaja sera!Sasa atapambanaje na mtu bila kumtaja kwenye Siasa mnataka kumpangia cha kusema ati bora kule sijui nini kama humuelewi si utamnyima tu kura unamia nini wengine wanapenda hivo anavofanya na watamchagua.
Subiri oktoba atapata jibuamerudi nchini kakuta kila TV station, magazeti, radio na kila mahali watu wanamtaja Magufuli.
sasa kuna nongwa gani kwa Lissu naye kuwaunga mkono aliowakuta katika kulitaja hilo jina la "mtukufu yesu"??
Sasa niumie sababu ya Lisu ambae ataambulia asilimia 20 ya kura?Huku moyoni unaumia
Subiri oktoba atakimbilia ubelgiji ili akafanye ibada ya kumkemea zaidi huyo shetaniHuwezi kufanya Ibada bila kumkemea shetani
kampeni ni nini? je lissu kafanya? mbona lowasa alitembea na mabasi nchi nzima na mlikaaa kimyaHuyu sijui anazungumza sheria za nchi gani kwani sheria za Tanzania ziko wazi sana kuhusu jambo hili. Kuna sheria ya Uchaguzi CAP 343 ya mwaka 2015, sheria ya matumizi ya Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010, pamoja na taarifa ya kawaida namba 722 kwenye Gazeti la serikali toleo la 23 la tarehe 5 June 2020. maandiko yote hayo yanasisitiza kuwa kampeini zinafanyika zikiwa zimeratibiwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa vile tume imeshasema kuwa kampeini zitaanza tahere 26 August, mtu yeyote anayefanya kampeini kabla ya wakati huo anavunja sheria. Maandiko hayo pia yameeleza maana ya kampeini ni nini.
View attachment 1536520
View attachment 1536519
View attachment 1536517
Soma ile sheria sura ya 343 inatamka wazi kampeini maana yake ni nini. Kutokujua sheria siyo utetezi; Lissu ni mwanasheria na analijua hilo ila huenda ni katika moja ya mikakati yake ya "kupeleka watu barabarabani".kampeni ni nini? je lissu kafanya? mbona lowasa alitembea na mabasi nchi nzima na mlikaaa kimya
Huyu huwa anadanganya misukule yake iliyojazana humu mitandaoni! Si unaona inavyotiririka hapa.Huyu sijui anazungumza sheria za nchi gani kwani sheria za Tanzania ziko wazi sana kuhusu jambo hili. Kuna sheria ya Uchaguzi CAP 343 ya mwaka 2015, sheria ya matumizi ya Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010, pamoja na taarifa ya kawaida namba 722 kwenye Gazeti la serikali toleo la 23 la tarehe 5 June 2020. maandiko yote hayo yanasisitiza kuwa kampeini zinafanyika zikiwa zimeratibiwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa vile tume imeshasema kuwa kampeini zitaanza tahere 26 August, mtu yeyote anayefanya kampeini kabla ya wakati huo anavunja sheria. Maandiko hayo pia yameeleza maana ya kampeini ni nini.
View attachment 1536520
View attachment 1536519
View attachment 1536517
Subiri oktoba ipite atajikuta yeye ndio nziUtaachaje kumuongelea.NZI wakati wa cholera?
Hodiiiii..ccm mabombadia yenu yatawapigia kura
Hellow Mrs BashiteAnakimbilia kimbilia mitandaoni au...[emoji2][emoji2][emoji2]
Ofisi za NEC anafahamu zilipo!!.. sisi hayatuhusu..
Magufuli 2020[emoji817]
Angeweza kuisema ccm, lakini 2015 mlisema chagua magufuli siyo ccm,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Harafu Magufuli wala hana time na lissu. Lissu ili apate kusikilizwa lazima amtaje Magufuli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Lisu hawezi! Hawezi kamwe!Binafsi sioni kampeni bali naona mapicha picha tu. CDM wamshauri Mgombea asijiingize kwenye Siasa za kutafuta huruma. Ajitahidi kujenga hoja na kutafsiri Sera za CDM na llani ya Uchaguzi kila apatapo nafasi. Watz hawana kiu ya kujua kwamba Nchi haina Demokrasia, haiko huru, nilipigwa risasi nk. Tuna kiu ya kujua CDM itafanya nni tukiipa nafasi ya kuingia lkulu!!
Na hata Kigoma kwa sasa inafanana na Dubai.Ni magufuli ndiyo. Kwani inashindikana?
Duabi mnamo miaka ya 1960,S ilikuwa Ni jangwa lililokaliwa na watu masikini Ila Leo Ni bonge la jiji la kitalii zaidi hata ya nchi baadhi za ulaya. Sembuse Tanzania iliyobarikiwa kila kitu.
Kwa Akili hizi watu wakiwaita Nyumbu watakosea?
Subiri oktoba utajua nani mjinga kati yangu na wewe!Ulitaka asitajwe na ndiye anayevunja katiba na sheria?? au ni Bwana wako ulitaka asitajwe ??
Chadema wanaona haiwezekani sababu akili zao wamejaza ujinga kwamba ili maisha yao yaende lazima wajikombe kwa mabeberuNi magufuli ndiyo. Kwani inashindikana?
Duabi mnamo miaka ya 1960,S ilikuwa Ni jangwa lililokaliwa na watu masikini Ila Leo Ni bonge la jiji la kitalii zaidi hata ya nchi baadhi za ulaya. Sembuse Tanzania iliyobarikiwa kila kitu.
Kwa Akili hizi watu wakiwaita Nyumbu watakosea?
Subiri oktoba Lisu atajikuta yeye ndio shetani!Huwezi kuhubiri neno la Mungu bila kumtaja shetani. Huwezi, ukiweza basi wewe sio mhubiri bali ni muabudu shetani tu.
Subiri oktoba. Lisu atapata sononaUngejua wewe ndio unapoteza muda wako kumtetea Magu.